ACT Wazalendo: Tunaamini katika siasa za hoja, si maandamano

ACT Wazalendo: Tunaamini katika siasa za hoja, si maandamano

wapuuzi wanafukuzia kutukana bila ya kutizama hata hio video yenyewe
 
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.

Hawa wanapambana na CDM
 
Hivi unaona ulichoweka wewe kina-akisi alichosema yeye ?!!!

Je....;

ACT Wazalendo: Tunafanya siasa za hoja, si maandamano​

Ni sawa na:

Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.
Kwenye maandamano kuna hoja nyingi za kisiasa ila ACT Wazalendo na hasa kiongozi wao huyo hawalijui hilo. Wanachojua ni siasa za hoja za kujitoa SUK waliyoingia bila kushawishiwa na mtu yeyote bali walishawishiwa na waongo wenzao CCM.
 
Back
Top Bottom