Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Yes, that is it...Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.
Hahahahhaahhaaaaaaaaaa, ila nyie watu kazi mnayofanya ni ngumu sana!Yes, that is it...
The country requires, needs and deserves vibrant opposition with issues to move on quickly [emoji205]
sio hii porojo na makelele ya vibaraka huko mtaani [emoji205]
sasa mihemko na maandamano yasio na malengo itasaidia nini πHahahahhaahhaaaaaaaaaa, ila nyie watu kazi mnayofanya ni ngumu sana!
Kama CHADEMA wasingekuwa wanaandamana. Wao ACT itikadi yao ingekuwa ni "hoja" na kitu gani? Na kukaa kimya kama CHADEMA?Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.
π Umesikia Jokate amesema wanawake wasiwapigie wanaume kura, nyie kundi Lenu msimamo wenu ni upi?sasa mihemko na maandamano yasio na malengo itasaidia nini π
Zitto amesha vuta mkwanja wake wa kutosha huko Ccm sasa kamuachia kadadaa nae avute wa kwake. Hakuna jinsi mta weza kuibomoa Chadema kwa hongo.Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.
Chama kinachojiita kinzani(kwa CCM)halafu kina malengo ya kukinzana na wakinzani wenzake kimtazamo,sijawahi kukiamini hata sekunde moja. π€Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.
mlikua kwenye kikao chenu cha wanawake sio , leo?ππ Umesikia Jokate amesema wanawake wasiwapigie wanaume kura, nyie kundi Lenu msimamo wenu ni upi?
Mtazamo waMkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.
Jokate amemkosea Sana Allah πΌπ Umesikia Jokate amesema wanawake wasiwapigie wanaume kura, nyie kundi Lenu msimamo wenu ni upi?
Ha ha ha ha maisha hayaMkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.