ACT Wazalendo: Tunaamini katika siasa za hoja, si maandamano

Chama gani hicho nacho? Kimekosa Kiki tu!
 
Hapa walikuwa wanafanya siasa za hoja ?
 
Mbona ni tofauti na alichoongea. Brother ulifaulu darasa la saba? Lakini hata wangetaka kuandamana wangewachukua watu wangapi njiani.
 
mlikua kwenye kikao chenu cha wanawake sio , leo?🐒

eeh kasemaje mwanamke mwenzenu maana na nyie mlivyo na wivu nyinyi kwa nyinyi 🐒

funguka madame 🐒
Nasema hivi, wanawake wamesema hakuna kuwapa wanaume kura, nyie. 🌈 kura zenu ni kwanani? Imeisha hiyo.
 
Nasema hivi, wanawake wamesema hakuna kuwapa wanaume kura, nyie. 🌈 kura zenu ni kwanani? Imeisha hiyo.
kwahiyo sasa wewe na wanawake wenzako apo dodoma mmeamuaje 🐒
 
sasa mihemko na maandamano yasio na malengo itasaidia nini 🐒
Lakini si unakumbuka kwenye katiba tuna kipengelea cha kufikisha ujumbe kwa njia ya kuandamana? Kupanga ni kuchangua.
Kama alivyopanga Chadema ni wao, CCM wamepanga na kuchangua Makonda kuzunguka kuwasilisha mambo ya chama kwa wananchi kama walivyochagua...pamoja na vyama vingine.
Tusipende sana kukosoa uchanguzi wa upande mwingine wakati option hizo zote tulijiwekea kwenye sheria mamaa (KATIBA).
 
Wana watu? Tuanzie hapo kwanza.
 
katiba inaruhusu maandamano yenye tija, yenye maana na malengo mahususi 🐒

sio makelele, au jogging na kusumbua watu wanaofanya mambo yao ya kujipatia kipato 🐒
 
Shida ya ACT wanapambana na CHADEMA. Bila CHADEMA kuforce kingi nani angeongelea maandamano Leo? Waache kutembelea mgongo wa CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…