Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

Nilichogundua toka kwenye comments za great thinkers ni kwamba YAJAYO YANAFURAHISHA
 
Maalim Seif who said so is not a normal individual he is a national chairman of Act wazalendo and its spokesman. He spoke as a National Chairman of his party sio MTU wa kawaida wa mtaani!!!
Nakupa ushauri wa bure. Tumia kiswahili, maana kizungu chako cha la kwanza F kinakinaisha.
 
Wewe na Jaji nani anaijua zaidi sheria hiyo?

Ni aibu kuwa Jaji ameshindwa ku-itafsiri sheria kwa facts zilizopo mezani. Sijui ni shinikizo au nikilaza, mii sijui. Lakini mwanafunzi wa mwaka wa pili wa sheria Chuo kikuu angeweza kui-apply sheria husika kwenye facts zilizopo vizuri zaidi. Sio hii michosho ya Msajiri.
 

Mkuu, hayo mabumunda yamejawa na HOFU ya kuwa chama cha upinzani baada ya Uchaguzi huu. Hofu ya umoja na ushirikiano wa ACT na CDM inawakosesha usingizi.
 
Huyo msajili atakuwa premature green embecile ,hata kutumika kwenyewe mbona anajiabisha sana .
 
Maalim Seif who said so is not a normal individual he is a national chairman of Act wazalendo and its spokesman. He spoke as a National Chairman of his party sio MTU wa kawaida wa mtaani!!!
Mkuu kwa mara ya kwanza ndio kwanza leo naona unamkubali Maalim. Naona taratibu munaanza kulegea mmoja mmoja. Mwishowe mutavua suruali na kuchutama wenyewe!
 
Japo kingereza chako ni cha shida, omba msaada kwa wenzako urudie kusoma alichokiandika MISSILE OF THE NATION halafu wakusaidie kukuelewesha, ndio urudi hapa. Unachosha na arguements zako za chekechea.
Huyo kimebaki kingereza tu hana hamu na CCM
 
Mzee povu vipi lakini?
 
Wanasema aliunga Mkono kihalali ila hawa wameunga Mkono nje ya mud a kisheria
Msajili huyo huyo juzi amesema mpaka kampeni zinaanza hakuna vyama vilivyoleta makubaliano ya kushirikiana ofisini kwake. Suala la TLP na UDP kushirikiana na CCM halipo kisheria na CCM hawakuwahi kusema wanashirikiana na chama chochote cha upinzani katika uchaguzi huu.
 


Ndiyo maana Kachero Membe kule Twitter anasema yeye ndiyo mgombea halali wa ACT-WAZALENDO halafu hafanyi kampeni lengo ni kukwepa mitego ya Msajili na NEC.
 
Hawa NEC siyo wa kuwachekea. Ni mda muafaka wa ku alert jumuiya ya kimataifa huu uchafu unaoendelea
Jumuiya ya kimatsifa haitaruhusiwa kuja Kama waangali was uchaguzi. Kumbe hujui[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…