Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uzuri ni kwamba ccm inaweza kupiga na chadema wakacheza kulingana na mdundo unavyopigwa!

Kabla ACT hawajamuunga mkono Lisu mashabiki wa chadema wakikuwa wanasema Membe ni mamaluki. Sasa hivi wanasema ni shujaa na mwanamikakati imaranya kuitoa ccm.

Kwa mwenye akili unaweza kuona ni jinsi gani ccm inaweza kuwachezea wapinzani ipendavyo
 
Yaani Nyumbu kwa kufarijiana wako vizuri, yaani mtu na akikili zake anawaza kabisa kwamba Lissu atakuwa Rais.
Mwaka huu ndo utaamini kuwa wewe ndo nyumbu. Jiandae tu, Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020- 2025
 
Nimeshiriki figisu figusu za uchaguzi mkuu kuanzia mwaka 2000 hadi 2010, sikuwahi kupiga kura.

Lakini mwaka huu, nikijaaliwa afya njema nitampigia Lissu, siwezi kuishi na mateso haya ya Magufuli kwa miaka 5 mingine. Eeh mwenyezi Mungu nisaidie.ASHIN
LISU ATASHI
Mambo hadharani. Kura za ACT Wazalendo zote sasa kwa Tundu Lissu baada ya mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif kutamka rasmi kumuunga mkono.

Hii ngoma bado mbichi sana.

On top of this latest support from the Maalim himself, tumekuwa tukishuhudia maelfu ya wapiga kura wa hata vijijini swekeni huko jinsi wanavyomlaki Tundu Lissu kwenye campaign rallies zake.

Kwa kweli CCM tutahitajika kufanya rigging ya kutoka sayari ya Mars ili mgombea wetu ashinde!


LISU ATASHINDA TU,KURA ZA CCM + ZA UPINZANI,ccm wengi watampigia LISU,wameshachoshwa na mwenyekiti wao time will tell
 
Lile bus alilozawadiwa Lisu huko ubelgiji limepotelea wapi?
Hili hapa
FB_IMG_1585251964209.jpg
 
Raha sana yaani imagine Kura za ACT na Chadem pamoja. Effect yake ni resultant force ya nguvu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lowasa akisoma koment kama hii anaweza kutapika kwa kinyaa
 
Sio kwamba hamuwajui CCM na Tume za kina Jecha. Ya Zanzibar CCM walisema dhahir shahir ndani ya Bunge kuwa nchi haitolewi kwa makaratasi mana wao wamepindua. Hii inaonesha kuwa siku ya tarehe 28 watu wanaenda kutekeleza wajibu wao tu, lakini CCM hawatoi nchi. Wanataka damu imwagike kwanza.
 
Back
Top Bottom