Kwenda zako huko.
Hali ya CCM ni mbaya sana. Watu hawamtaki magufuli mchana kweupe. Historia kuu inaenda kuandikwa Tanzania mwaka huu
Kwani na sisi tuna mabeberu wetu burundi kama alivyo Lisu?Na nyinyi warundi lazima tuwarudishe kwenu
Mkuu naona safari hii umekuwa mpole kumtetea na kumpigania Jiwe,nini tatizo?Ngoja niangalie kama sheria ya NEC inawaruhusu, sbb hawapashwi kuungana muda huu, sbb muda wa kuungana ulishapita[emoji28].. Figisu tunaweka
Magufuli hawezi kuwa chaguo la Mungu anayesema usiue kamwe! Tena ukome kumuweka Mungu kwa huyo muuaji wenu!Asiyemtaka JPM ni wewe bendera fuata upepo. JPM ni chaguo la Mungu na chaguo la Watanzania. Lazima ashinde kwa kishindo. Subiri uone. Hatuwezi kukabidhi nchi kwa vibaraka.
Mambo hadharani. Kura za ACT Wazalendo zote sasa kwa Tundu Lissu baada ya mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif kutamka rasmi kumuunga mkono.
Hii ngoma bado mbichi sana.
On top of this latest support from the Maalim himself, tumekuwa tukishuhudia maelfu ya wapiga kura wa hata vijijini swekeni huko jinsi wanavyomlaki Tundu Lissu kwenye campaign rallies zake.
Kwa kweli CCM tutahitajika kufanya rigging ya kutoka sayari ya Mars ili mgombea wetu ashinde!
Naona sindano inakuingia vizuri kama unavyo onekana hapoKwani na sisi tuna mabeberu wetu burundi kama alivyo Lisu?
Unafikiri wanajeshi wanampenda Jiwe?alistaafisha mabrigedia generals akaenda kumpa ugeneral mtu wa chini kabila lake 2G..soma alama za nyakati..Tanzania ni taifa huru
Hatuwezi kuingiliwa na fala yoyote yule hata awe nani tutamgalagaza
Bila shaka lisu atachomwa kama hiyo ili kutuliza maumivu ya kushindwa hapo oktobaNaona sindano inakuingia vizuri kama unavyo onekana hapoView attachment 1576610
Acha matusi jinga wewePumbavu zako!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bavicha mnatamani vitu flani vitokee ila ndio hivyo havitokei sijui mna gunduUnafikiri wanajeshi wanampenda Jiwe?alistaafisha mabrigedia generals akaenda kumpa ugeneral mtu wa chini kabila lake 2G..soma alama za nyakati..
Magufuli hawezi kuwa chaguo la Mungu anayesema usiue kamwe! Tena ukome kumuweka Mungu kwa huyo muuaji wenu!
Hivi mna habari kwamba jina lake bado litakuwepo kwenye orodha ya wagombea?
Hata kama amejiondoa kimya kimya, bado kuna watu watampigia kura, labda aje sasa hadharani atamke kuwa amejitoa, vinginevyo kuna kura ataharibu
Ndio imeisha hiyo, Magufuli knows better how to play his cards.Unafikiri wanajeshi wanampenda Jiwe?alistaafisha mabrigedia generals akaenda kumpa ugeneral mtu wa chini kabila lake 2G..soma alama za nyakati..
Wafuasi wote wa Maalim Seif ni ACT Wazalendo..Lipumba kabaki na kiduchuuuYaan kushangilia hoja ,hii kwa watu was cdm.Inaonyesha hamna matumaini kabisa.Kwani act,ina watu wangapi?Tuongee kwa statistics ,tusidanganyane.
Nnape kakaza taco huyoNaona sindano inakuingia vizuri kama unavyo onekana hapoView attachment 1576610
Wakithubutu tutakizamisha hicho kimtumbwiWanapasha mazoezi kidogo hapo bahari ya hindi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!! Dadeki CCM mtajua hamjui mwaka huu
View attachment 1576601