Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Kwenda zako huko.

Sawa.

Wewe si hujui mipaka ya siasa?
Sasa utaelewa maana ya Kaisari MPE kaisari, na Ya Mungu mpe Mungu.

Save comment yangu. Raha ni kuwa unakiburi, hutaki hata kutubu.

Lazima kizazi chako atoke kilema ili akili ikukae sawa
 
Hali ya CCM ni mbaya sana. Watu hawamtaki magufuli mchana kweupe. Historia kuu inaenda kuandikwa Tanzania mwaka huu

Asiyemtaka JPM ni wewe bendera fuata upepo. JPM ni chaguo la Mungu na chaguo la Watanzania. Lazima ashinde kwa kishindo. Subiri uone. Hatuwezi kukabidhi nchi kwa vibaraka.
 
Ngoja niangalie kama sheria ya NEC inawaruhusu, sbb hawapashwi kuungana muda huu, sbb muda wa kuungana ulishapita[emoji28].. Figisu tunaweka
Mkuu naona safari hii umekuwa mpole kumtetea na kumpigania Jiwe,nini tatizo?
 
Mambo hadharani. Kura za ACT Wazalendo zote sasa kwa Tundu Lissu baada ya mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif kutamka rasmi kumuunga mkono.

Hii ngoma bado mbichi sana.

On top of this latest support from the Maalim himself, tumekuwa tukishuhudia maelfu ya wapiga kura wa hata vijijini swekeni huko jinsi wanavyomlaki Tundu Lissu kwenye campaign rallies zake.

Kwa kweli CCM tutahitajika kufanya rigging ya kutoka sayari ya Mars ili mgombea wetu ashinde!



Maalimu Seif anaota ndoto za mchana. Subiri sunami ya tarehe 28 October
 
Kwani na sisi tuna mabeberu wetu burundi kama alivyo Lisu?
Naona sindano inakuingia vizuri kama unavyo onekana hapo
Screenshot_20200912-222712.jpg
 
Hao Act wapo zanzibar na chadema wapo bara bado John joseph pombe Magufuli ni mshindi!
 
Unafikiri wanajeshi wanampenda Jiwe?alistaafisha mabrigedia generals akaenda kumpa ugeneral mtu wa chini kabila lake 2G..soma alama za nyakati..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bavicha mnatamani vitu flani vitokee ila ndio hivyo havitokei sijui mna gundu
 
Magufuli hawezi kuwa chaguo la Mungu anayesema usiue kamwe! Tena ukome kumuweka Mungu kwa huyo muuaji wenu!

LISSU aliyeingia mikataba na wazungu kuleta machafuko Tanzania, ataua Watanzania wangapi? Huyo LISSU wenu ndo Chaguo la shetani kabisa.
 
Hivi mna habari kwamba jina lake bado litakuwepo kwenye orodha ya wagombea?

Hata kama amejiondoa kimya kimya, bado kuna watu watampigia kura, labda aje sasa hadharani atamke kuwa amejitoa, vinginevyo kuna kura ataharibu

Membe aanajua figisu zote za ccm na kwa taarifa yenu huko jikoni kumeoza.
Yaani watakao mtoa mzee baba ni ccm wenyewe na ndio usiku wanamuunga mkono lisu
Nadhani hata mzee mstaafu wa msoga hataki tena kumwona mzee wa fly overi
 
Unafikiri wanajeshi wanampenda Jiwe?alistaafisha mabrigedia generals akaenda kumpa ugeneral mtu wa chini kabila lake 2G..soma alama za nyakati..
Ndio imeisha hiyo, Magufuli knows better how to play his cards.
Atakayeleta fyoko fyoko sumu kama ya Mangula itamhusu.
 
Back
Top Bottom