Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Huyo Maalim Seif aendelee kuota, akija kuamka Magufuli atakuwa ameshaapishwa tena kutumikia u Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
sasa ulitaka cdm waseme nini wakati Jasusi mbobevu alikuwa tiyar anafanya engineering yake? wee unafikiri kwa mini mwanzoni Jasusi hakumuunga mkono Lissu moja kwa moja na kwa nini leo na siyo jana wala kesho?
ccm mwaka mnalo.. na bado hapo Jasusi anaendeleza kazi yake mdogomdogo ndan ya ssm. usishangae siku ukiskia kina marope njunia na siinniya wanatangaza kura zote kwa Lissu...tupo hapa
 
Imeisha hiyo automatic Membe is out of the game.

Kimkakati upinzani mwaka huu upo vizuri kuzidi hata ile ukawa.

Wangeungana Magufuli angeanza kuwanunua

Mwaka huu anunuliwi mtu hata mmoja.

Lissu shikilia hapo hapo mpaka mtu ajiiiii......

Hakuna mkakati wowote wa maana kwa upinzani. Nchi haiwezi kuongozwa na watu wasiokuwa na sera tena vibaraka. Mtaisoma namba na vibaraka wenu.
 
You may be Wright. Lakini ni kwanini chaguzi zinaitishwa na kuharibu rasilimali za kutosha kila kipindi.
 
Tanzania hatuwezi tukawa na Rais, Asiyeweza kujisimamia kama lisu, chaguo la watanzania ni Magufuli
 
Wakithubutu tutakizamisha hicho kimtumbwi
Thubutu yako!!! Na vitoy vyako vya karne ya 19 vile sijui mig 21????😂😂😂

Najua wewe ni kilaza tu wa Lumumba, Sasa subiri nikusaidie embu ingia google au hata youtube alafu andika the Capturing of Manuel Noriega uone wamarekani walivyomchukua raisi huyo wa Panama ikulu kwake!!!

Achana na Marekani we kilaza wa Lumumba, wale ni watu na nusu !! 😂😂😂
 

Unajidanganya na kujifariji. Unaota ndoto za mchana hakika
 
Hakuna mkakati wowote wa maana kwa upinzani. Nchi haiwezi kuongozwa na watu wasiokuwa na sera tena vibaraka. Mtaisoma namba na vibaraka wenu.
Hakika wapinzani hawana sera za msingi zaidi ya matusi na kuwanyonya watanzania kwa kuchangisha pesa na kwenda kufanyia anasa
 
💥👊🏼💃🏻
 
Hawawezi kuthubutu kuja tanzania,
Hapa kuna maslahi ya China Na Urusi,marekani hawezi kuleta fyoko fyoko
 
Nimeshiriki figisu figusu za uchaguzi mkuu kuanzia mwaka 2000 hadi 2010, sikuwahi kupiga kura.

Lakini mwaka huu, nikijaaliwa afya njema nitampigia Lissu, siwezi kuishi na mateso haya ya Magufuli kwa miaka 5 mingine. Eeh mwenyezi Mungu nisaidie.

Nami nimeshiriki hizo figisu unazosema na sikuwahi kupigia CCM lakini mwaka huu kura ni kwa MAGUFULI.
 
Unajidanganya na kujifariji. Unaota ndoto za mchana hakika
Mkuu tuombe uzima.
huwezi kuwanyang'anya chama wenye chama ukawapa waKuja halafu eti utegemee wenye chama wakupiganie!! mbaya zaidi wenye chama ndo walikuweka hapo kwa nguvu kubwa halafu eti baadaye unawadhihaki na kuwadunisha utegemee kura zao? hilo sahau mkuu. kulikon hivo si ni heri waharibu hata hizo kura!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…