Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Bora ufisadi wa MAGUFULI kuliko ulofa wa LISSU wa kupanga njama za machafuko na wazungu. Sijui LISSU akili chafu ya namna hii anaitoa wapi.
Utampenda tu Lissu hachafuliki hajawah kuwa na skedo wala kashshifa
 
Vijana tundeni na Lissu tar 28 yule Msukuma hafai kuongoza nchi kiburi kimemjaa alafu nashangaa anajifanya kutufokea hadi kwenye mikutano ya kampeni.. Sasa ndio umekwisha habari yako mwaka huu

MAGUFULI atashinda mchana kweupee. Nchi haiwezi kuongozwa na vibaraka. Tutamlinda na kumpigania MAGUFULI hadi kieleweke.
 
Sisi sio mang'ombe tunaelewa lengo letu. Akisemacho Tundu Lissu na Maalim ndio tunafata. Fullstop
 
Huu uchaguzi niliuchukulia poa lakini naona utakuwa ni uchaguzi mojawapo ambao tutawahadisia watoto wetu. Mungu alishaibariki Tanzania.

Membe katisha sana sasa atangaze hadharani.

Twende na Lissu au Magufuli? Ila ladha ya upinzani hatujawahi kuonja ..tukienda na Lissu siyo mbaya
#NIYEYE
 
Sisi sio mang'ombe tunaelewa lengo letu. Akisemacho Tundu Lissu na Maalim ndio tunafata. Fullstop
Hapo ndipo kura zitaenda kupotea sasa.. Dah! Kweli membe jasusi kawajaza watu na wamejaa kweli aisee!!
 
bado siku zaidi ya 35 kabla ya siku ya siku (D-day).... watajipanga.

hawa jamaa wapo smart sana aisee siyo kama huku kwetu ambako tunawategemea waNEC & mapolisi watubebe!
 

Rais ni MAGUFULI, wengine vibaraka tupa kule
 
bado siku zaidi ya 35 kabla ya siku ya siku (D-day).... watajipanga.

hawa jamaa wapo smart sana aisee siyo kama huku kwetu ambako tunawategemea waNEC & mapolisi watubebe!
Umenielewa?? Inamaana NEC hawataweza kutoa jina la membe kwenye chama cha ACT kwakuwa siku 90 zmepita. Sasa hapo ndipo kura zitakapochakachuliwa.
 
Heri yako wewe umeacha ufia Chama pembeni na kuongea reality iliyopo. Kikubwa tuipiganie Nchi yetu tuijenge kwa pamoja bila kujali itikadi. Kiongozi asiefaa akataliwe na wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…