Utampenda tu Lissu hachafuliki hajawah kuwa na skedo wala kashshifaBora ufisadi wa MAGUFULI kuliko ulofa wa LISSU wa kupanga njama za machafuko na wazungu. Sijui LISSU akili chafu ya namna hii anaitoa wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utampenda tu Lissu hachafuliki hajawah kuwa na skedo wala kashshifaBora ufisadi wa MAGUFULI kuliko ulofa wa LISSU wa kupanga njama za machafuko na wazungu. Sijui LISSU akili chafu ya namna hii anaitoa wapi.
Naona siku hizi ni jukwaa la mapenzi tu heheMwenzako Troll J kashaacha kushabikia ujinga na kujitoa fahamu.
Vijana tundeni na Lissu tar 28 yule Msukuma hafai kuongoza nchi kiburi kimemjaa alafu nashangaa anajifanya kutufokea hadi kwenye mikutano ya kampeni.. Sasa ndio umekwisha habari yako mwaka huu
Sisi sio mang'ombe tunaelewa lengo letu. Akisemacho Tundu Lissu na Maalim ndio tunafata. FullstopLakn mkumbuke kuwa kule kwenye tume ACT anatambuliwa ni membe, sasa siku ya uchaguzi watapiga kwenye picha ya nani?
Na tume ilishasema endapo chama vinataka kuungana viwasilishe hoja hyo kabl ya siku 90.
Halafu pia hayo ni maamuzi ya Maalim seif lakn si wanachama wa ACT.
Naona karata hizi zinaanza kujichanganya. Ngoja tusubiri
Utampenda tu Lissu hachafuliki hajawah kuwa na skedo wala kashshifa
Mwenzako kafata nyayo zako ImhotepNaona siku hizi ni jukwaa la mapenzi tu hehe
Huna unalojua weweWewe ndo hujui skendo zake. Kibaraka mkubwa sana yule.
Sisi sio mang'ombe tunaelewa lengo letu. Akisemacho Tundu Lissu na Maalim ndio tunafata. Fullstop
Hapo ndipo kura zitaenda kupotea sasa.. Dah! Kweli membe jasusi kawajaza watu na wamejaa kweli aisee!!Sisi sio mang'ombe tunaelewa lengo letu. Akisemacho Tundu Lissu na Maalim ndio tunafata. Fullstop
Alikuwa anashindana na nani,kama si kupita bila kupingwaHahaha acha kutufunga kamba wewe, mtu amekuwa mbunge takriban miaka 20, halafu utuambie alikuwa anatoboa kwa shida? Vichekesho hivi kweli kweli
bado siku zaidi ya 35 kabla ya siku ya siku (D-day).... watajipanga.Lakn mkumbuke kuwa kule kwenye tume ACT anatambuliwa ni membe, sasa siku ya uchaguzi watapiga kwenye picha ya nani?
Na tume ilishasema endapo chama vinataka kuungana viwasilishe hoja hyo kabl ya siku 90.
Halafu pia hayo ni maamuzi ya Maalim seif lakn si wanachama wa ACT.
Naona karata hizi zinaanza kujichanganya. Ngoja tusubiri
Huu uchaguzi niliuchukulia poa lakini naona utakuwa ni uchaguzi mojawapo ambao tutawahadisia watoto wetu. Mungu alishaibariki Tanzania.
Membe katisha sana sasa atangaze hadharani.
Twende na Lissu au Magufuli? Ila ladha ya upinzani hatujawahi kuonja ..tukienda na Lissu siyo mbaya
#NIYEYE
Hii itakuwa ni robotUpinzani ulishakufa tangu 2015 kililichobaki ni futuhi.
Umenielewa?? Inamaana NEC hawataweza kutoa jina la membe kwenye chama cha ACT kwakuwa siku 90 zmepita. Sasa hapo ndipo kura zitakapochakachuliwa.bado siku zaidi ya 35 kabla ya siku ya siku (D-day).... watajipanga.
hawa jamaa wapo smart sana aisee siyo kama huku kwetu ambako tunawategemea waNEC & mapolisi watubebe!
Huna unalojua wewe
Utaenda nae Chato hapo November 2020!MAGUFULI atashinda mchana kweupee. Nchi haiwezi kuongozwa na vibaraka. Tutamlinda na kumpigania MAGUFULI hadi kieleweke.
Heri yako wewe umeacha ufia Chama pembeni na kuongea reality iliyopo. Kikubwa tuipiganie Nchi yetu tuijenge kwa pamoja bila kujali itikadi. Kiongozi asiefaa akataliwe na wote.My early prediction, nilijua uchaguzi huu utakuwa mwepesi kwetu, ila kiukweli, inahitaji extra push tushinde, kuna historia za ajabu duniani zishatokea, mtu kama Lissu usije mdharau kabisa katika huu uchaguzi, don't ever count him out.. Leo nimeona kumbe ACT wanam support secretly, mm kama CCM, we need extra IQ tushinde, huu uchaguzi bado una sintofahamu
Mkuu nimeongea na jamaa zangu ambao wako CCM wanasema kuwa mwambieni Lissu kura atazikimbia mwenyewe😂Mwenzako kafata nyayo zako Imhotep