Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Membe nani ACT Wazalendo..Maalim kaja na mamilioni ya watu..Fikra za mwenyekiti hazipingwi..hiyo video hapo juu ni jana ZNZ

mpaka huu mwezi unaisha utakua ushaizimia kisaikolojia, hio ni latest official statement ya membe na yeye ndo aliopewa ridhaa na nec, wewe unataka kubishana na membe?
 
Sasa ni rasmi kuwa kampeni zimefikia patamu!

Mh. Freeman Mbowe ametangaza rasmi kuwa mgombea urais Zanzibar kupitia chadema amejitoa kwenye kinyang'anyiro na kuridhia rasmi kumuunga mkono mfombea urais kupitia ACT Wazalendo Mh. Maalim Seif!

Je kwa upande wa Tanzania Bara Mh. Membe naye atajitoa kwenye kinyang'anyiro ili kumuunga mkono Tundu Lissu!?

Bila shaka hili lina asilimia kubwa kutokea, kabla jogoo hajawika jibu lipatikana!

Mambo ni Bam bam sasa!
 
Well-wishing. Let it come true as signs indicate.
 
Daah Lissu hamna kupewa nchi maana yule Professor pale Telaviv atauza sana hisa pale New York Stock Exchange daah big No
 
Maalim Seif kaizika ACT wazalendo huku Tanzania bara. Zitto imekula kwake. Hakutakuwa na mbunge hata mmoja huku bara wa ACT wazalendo. Chama hiki sasa kimeshachukuliwa rasmu na wapemba.
 
Usiache pia kurudi kuandika hapa utakapoona historia inaandikwa ya upinzani kukosa hata kura milioni 2 kati ya kura zote zaidi ya milioni 20. Watanzania wameamua kuendelea na JPM
 
Usiache pia kurudi kuandika hapa utakapoona historia inaandikwa ya upinzani kukosa hata kura milioni 2 kati ya kura zote zaidi ya milioni 20. Watanzania wameamua kuendelea na JPM
Labda upinzani wa chumbani kwako!!
 
Maalim Seif kaizika ACT wazalendo huku Tanzania bara. Zitto imekula kwake. Hakutakuwa na mbunge hata mmoja huku bara wa ACT wazalendo. Chama hiki sasa kimeshachukuliwa rasmu na wapemba.
Ruzuku watakula wapemba au wote
 
Ruzuku watakula wapemba au wote
Ruzuku watakula wapemba tu na Zitto atakuwa kama alivyokuwa Lipumba. Mamlaka ya ACT yatakuwa chini ya Mzee Mandevu ambaye pia atakuwa makamu wa kwanza wa rais huko Zanzibar.
 
Maalim Seif kaizika ACT wazalendo huku Tanzania bara. Zitto imekula kwake. Hakutakuwa na mbunge hata mmoja huku bara wa ACT wazalendo. Chama hiki sasa kimeshachukuliwa rasmu na wapemba.
Muongo wewe !
 
Ruzuku watakula wapemba tu na Zitto atakuwa kama alivyokuwa Lipumba. Mamlaka ya ACT yatakuwa chini ya Mzee Mandevu ambaye pia atakuwa makamu wa kwanza wa rais huko Zanzibar.
Hilo jina lako haliendani na pumba unazomwaga humu kwanini
 
Acheni kujidanganya. Hivi Mtanzania wa sasa nini kitamshawishi ampigie kura TL? Utetezi wa ushoga na kuwakumbatia mabeberu wanaotaka kuja kupora mali zetu?? Mtu anayebeza juhudi za kupaisha maendeleo ya watu kwa kuendeleza miundombinu ya umeme, maji, SGR, barabara, n.k.???? Anafikiri sisi ni majuha hatujui kwamba maendeleo ya vitu ndiyo yataleta maendeleo ya watu!!! Mtu ambaye ana uraia wa nchi za nje akishawishi fujo ianze yeye atakimbilia Belgium!!
Acha Mjomba labda wewe umedanganyika lakini sisi HATUDANGANYIKI. Leo nitamuomba Mungu akupe uelewa wa hawa Mabeberu wa Ukoloni mambosasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…