Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 999
- 1,683
Leo la kuomba uongozi ni ili kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida. Dr. Mwinyi ameonesha nia ya kuboresha maisha ya Wazanzibar, ACT kuendelea kushupaza shingo ni kusababisha maisha Mzanzibar kuwa magumu.
Hata Magufuli aache kibri na majivuno ashirikiane na vyama vingine kuboresha maisha ya Mtanzania. Hivi CHADEMA ikiendelea kushupaza shingo watakaoumia ni tabaka la uongozi la CCM au ni sisi wananchi wa kawaida? Vikwazo vya kiuchumi vitatuumiza sisi wananchi wa kawaida, heri nusu Shari kuliko Shari kamili.
Mimi mwananchi wa kawaida nataka ugali wangu niupata kwa urahisi regardless anaongoza CCM,CHADEMA,ACT au CHAUMA.