Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Bado tinarejea palepale,kama kweli wewe umefika na kuishi kenya kama unavyojitanabaisha hapa jukwaani, UCHUMI wao kama tuuonavyo kwenye karatasi ni sawa na maisha ya wananchi?Ni vizuri ukatumia neno halisi, uchumi wa chini wa kati, lakini wengi wetu hatuoni utofauti wa uhakika, baina ya huu uchumi wa chini wa kati, na wa hapo kabla.
👉Unaweza kuona kama nataka kutoka nje ya nada Ila ukinijibu,nitakueleka sehemu sahihi ndani ya maada hii.