ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

Ni vizuri ukatumia neno halisi, uchumi wa chini wa kati, lakini wengi wetu hatuoni utofauti wa uhakika, baina ya huu uchumi wa chini wa kati, na wa hapo kabla.
Bado tinarejea palepale,kama kweli wewe umefika na kuishi kenya kama unavyojitanabaisha hapa jukwaani, UCHUMI wao kama tuuonavyo kwenye karatasi ni sawa na maisha ya wananchi?

👉Unaweza kuona kama nataka kutoka nje ya nada Ila ukinijibu,nitakueleka sehemu sahihi ndani ya maada hii.
 
Siyo Pekeako unaenda Kenya, wote tunaijua Kenya ilivyo.

Hako kakundi kadogo ka watu wachache pale Nairobi kasikufanye uone Wakenya wana maisha mazuri sana.

Toka nje ya Nairobi uujionee uchumi halisi wa Mkenya.

Kuna tofauti gani na hapa Tanzania ukitoka nje ya miji mikubwa?
 
1. Kujiunga SUK ni kuhalalisha Uchaguzi haramu?

Hapana. ACT Wazalendo kimechukua na kinaendelea kuchukua hatua mbalimbali za ndani na nje ya nchi kuupinga uchaguzi huu na matokeo yake. Chama kitaendelea kufanya hivyo, ikiwemo kupigania Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili kuhakikisha uchaguzi nchini unakuwa huru na wa haki....
Kujiunga na SUK, NDIO ni kukubali uchaguzi na Kumtambua alietangazwa mshindi.
Hii ipo wazi, vipi utafanya kazi na mtu au mamlaka usioitambua na wewe umo humo humo.

Ni kuhalalisha yote yaliyotokea.
Inauma sana baada ya yote yaliotokea ACT mnasema yote ni haki.
Binafsi siwezi kuwaamini tena, kuna tofauti gani kati yenu na kina Hamad Rashid na Lipumba ?
 
Tehe tehe tehe. Maalimu akatae ulaji, aanze tena kupandisha mkaa wa kupikia kwenye ndege za serikali.
 
Siasa ni michongo kama michongo mingine, nashangaa sana watu wanashupaa kwenye biashara hii inayolipa sana
 

ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu umeona vazi la kupiga kelele ulilonivisha halinitoshi, sasa umeamua kuniongezea na la maumivu. Isokee kwa kuwa umenichagulia!

Mimi sijasema kakataa kuteuliwa, kafanya maamuzi kwa raha zake.

Pointi yangu ni mdogo tu, "kilichofanyika ni usaliti".
Usaliti kwako wewe

Wenzenu walisharidhika, uchaguzi umeisha na wameteuliwa na Wanaenda kuchapa kazi.
Nyie endeleeni kupiga kelele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya nendeni mkacheleweshe maendeleo kama walivyokuwa wanasema wapinzani mnachelewesha maendeleo
 
It will be hard again kuwaamini wapinzani, maamuzi yenu yana cost upinzani ujao..nani atawaamini tena na hio trend mnayoionyesha?
 
Back
Top Bottom