ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

Leo la kuomba uongozi ni ili kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida. Dr. Mwinyi ameonesha nia ya kuboresha maisha ya Wazanzibar, ACT kuendelea kushupaza shingo ni kusababisha maisha Mzanzibar kuwa magumu.

Hata Magufuli aache kibri na majivuno ashirikiane na vyama vingine kuboresha maisha ya Mtanzania. Hivi CHADEMA ikiendelea kushupaza shingo watakaoumia ni tabaka la uongozi la CCM au ni sisi wananchi wa kawaida? Vikwazo vya kiuchumi vitatuumiza sisi wananchi wa kawaida, heri nusu Shari kuliko Shari kamili.

Mimi mwananchi wa kawaida nataka ugali wangu niupata kwa urahisi regardless anaongoza CCM,CHADEMA,ACT au CHAUMA.
 
Kwa faida ya haki. Labda kwa huko Znz, lakini kwa huku Bara, ACT wasahau kabisa support ya wananchi.
Wewe ni mwananchi au wananchi🤔? Kama wewe ni mwananchi, basi hiyo support ataipata kutoka wa wananchi wengine.
 
Enzi KANU inatamba ccm huko Kenya, wapambe wake walikuwa wanasema KANU ndio chama pekee kinaweza kuiongoza Kenya. Leo hii KANU imeondolewa madarakani, na Kenya ni bora kiuchumi, kielimu, kibiashara, kiafya nk, kuliko Tanzania ambayo haijawahi kutawaliwa na chama nje ya ccm.
Chama kilichoikitoa chama cha KANU madarakani hakikuwa cha kipumbavu kama hii CHADEMA.Hata huku Tanzania kilitokea chama chenye weledi,tofauti na hivi vikundi vya kisiasa vilivyopo, CCM Itatoka madarakani.
 
Mbona Mbowe anawabania wabunge wa viti malum sasa?

Au kwa kuwa Joyce Mkuya ametoswa?
 
Chama kilichoikitoa chama cha KANU madarakani hakikuwa cha kipumbavu kama hii CHADEMA.Hata huku Tanzania kilitokea chama chenye weledi,tofauti na hivi vikundi vya kisiasa vilivyopo, CCM Itatoka madarakani.

Kama sio cha kipumbavu mpaka leo bado kiko?
 
Hakuna chochote Kenya imeizidi tz,!

Kingine Pale Kenya KANU bado ipo kwenye madaraka sema ili jigeuza tu sura.

Ruling class ya KENYA bado ni ile ile tangu inapata Uhuru.

Sio kwamba nina mashaka na nilichosema, sisi tunawazidi hao wakenya eneo la kijiografia na idadi ya watu. Lakini uchumi, viwanda, afya, elimu, kisiasa nk, wanatuzidi tena kwa mbali.

Hatujali kama huko Kenya chama kilijibadili, lakini tunajua Moi aliyekuwa Mzungu mtu alipigwa chini na KANU yake full stop.
 
Sio kwamba nina mashaka na nilichosema, sisi tunawazidi hao wakenya eneo la kijiografia na idadi ya watu. Lakini uchumi, viwanda, afya, elimu, kisiasa nk, wanatuzidi tena kwa mbali...
Kwahiyo point yako nini hapa? Unataka kusema kwamba duniani tulipaswa kuwa level moja katika kila kitu au? Kwamba chadema ndio chama kinachoweza kuifanya Tanzania iipite kenya katika nyanja zote ulizotaja hapo juu? Aiseeh😂😂
 
Sio kwamba nina mashaka na nilichosema, sisi tunawazidi hao wakenya eneo la kijiografia na idadi ya watu. Lakini uchumi, viwanda, afya, elimu, kisiasa nk, wanatuzidi tena kwa mbali.

Hatujali kama huko Kenya chama kilijibadili, lakini tunajua Moi aliyekuwa Mzungu mtu alipigwa chini na KANU yake full stop.
Hahahhaha... Uchumi upi Kenya imetuzidi wakati hakuna wanachi masikini kama wakenya?

Kuna kundi dogo sana pale Kenya ndio linalofaidi matunda ya nchi ya kenya na ndio hiyo ruling class ya Kenyatta wengine wote machokoraa tu.
 
MBOWE na CHADEMA tu watabaki kuwa Miamba ya Siasa za Upinzani Tanzania.

Mungu awabariki.
 
Kwahiyo point yako nini hapa? Unataka kusema kwamba duniani tulipaswa kuwa level moja katika kila kitu au? Kwamba chadema ndio chama kinachoweza kuifanya Tanzania iipite kenya katika nyanja zote ulizotaja hapo juu? Aiseeh[emoji23][emoji23]
Mshikaji anahisi zile figar za GDP ndio zinafanya Kenya iwe na uchumi mkubwa. Nenda kwa wananchi wake uone walivyo chakaa
 
MBOWE na CHADEMA tu watabaki kuwa Miamba ya Siasa za Upinzani Tanzania.

Mungu awabariki.
Mbowe yupi?
Chadema ipi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kuchekesha wasiotaka kucheka bhana mdogo
 
Mshikaji anahisi zile figar za GDP ndio zinafanya Kenya iwe na uchumi mkubwa. Nenda kwa wananchi wake uone walivyo chakaa
Wakiambiwa Tz imeingia uchumi wa Kati wanajifanya kuleta hoja za kuangalia maisha ya raia mmojammoja,Ila wakitajiwa figure za kenya GDP, hawataki kusikia kabisa swala la maisha ya raia mmojammoja huko kenya😂.Wanafiki wakubwa hawa wakina tindo.

Hapo alipo utakuta hajawahi hata kuingiza mguu wake kenya na anashupaza shingo hapa kubishana na watu tunaojua hali halisi.

👉siasa za chadema ni za maji machafu,wanalilia kuiongoza nchi ikiwa chama chao wenyewe chenye watu wasizidi 50 kinawashinda. 😂😂😂😂
 
Kwahiyo point yako nini hapa? Unataka kusema kwamba duniani tulipaswa kuwa level moja katika kila kitu au? Kwamba chadema ndio chama kinachoweza kuifanya Tanzania iipite kenya katika nyanja zote ulizotaja hapo juu? Aiseeh😂😂
Rejea mwanzo wa hizi post ili ujue nimefikia vipi kwenye huu ulinganifu.
 
Hahahhaha... Uchumi upi Kenya imetuzidi wakati hakuna wanachi masikini kama wakenya?

Kuna kundi dogo sana pale Kenya ndio linalofaidi matunda ya nchi ya kenya na ndio hiyo ruling class ya Kenyatta wengine wote machokoraa tu.

Nimekaa Kenya na huwa naenda kwa shughuli zangu fulani fulani. Napenda nikushauri, toka nje ya box ili uwe kwenye mazingira mazuri ya kuona hicho unacholishwa.
 
Wakiambiwa Tz imeingia uchumi wa Kati wanajifanya kuleta hoja za kuangalia maisha ya raia mmojammoja,Ila wakitajiwa figure za kenya GDP, hawataki kusikia kabisa swala la maisha ya raia mmojammoja huko kenya😂....

Ni vizuri ukatumia neno halisi, uchumi wa chini wa kati, lakini wengi wetu hatuoni utofauti wa uhakika, baina ya huu uchumi wa chini wa kati, na wa hapo kabla.
 
Wakiambiwa Tz imeingia uchumi wa Kati wanajifanya kuleta hoja za kuangalia maisha ya raia mmojammoja,Ila wakitajiwa figure za kenya GDP, hawataki kusikia kabisa swala la maisha ya raia mmojammoja huko kenya[emoji23]...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania hapa unaweza kweli ukawa huna mbele wala nyuma lakini kamwe huwezi kufa kwa njaa!

Hapa tz mtu unakuta ni masikini lakini ana bonge la shamba kijijini kwao na akiamua kwenda huko kupiga kilimo anapiga hatua,

Pale Kenya mtu ni masikini na bado hata sehemu tu ya kulima matembele hana. Yani ardhi yote Kenya imehodhiwa na familia ya Kenyata, alafu kina tindo wanapumbazika na GDP ya viwanda vichache vinavyomilikiwa na beberus pale Nairobi
 
Nimekaa Kenya na huwa naenda kwa shughuli zangu fulani fulani. Napenda nikushauri, toka nje ya box ili uwe kwenye mazingira mazuri ya kuona hicho unacholishwa.
Siyo Pekeako unaenda Kenya, wote tunaijua Kenya ilivyo.

Hako kakundi kadogo ka watu wachache pale Nairobi kasikufanye uone Wakenya wana maisha mazuri sana.

Toka nje ya Nairobi uujionee uchumi halisi wa Mkenya.
 
ACT mpaka sasa wameamua kujiunga na CCM, kwa maana hiyo ACT sio Chama cha upinzani tena
 
Back
Top Bottom