Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 999
- 1,683
Wewe ni mwananchi au wananchi🤔? Kama wewe ni mwananchi, basi hiyo support ataipata kutoka wa wananchi wengine.Kwa faida ya haki. Labda kwa huko Znz, lakini kwa huku Bara, ACT wasahau kabisa support ya wananchi.
Hao ndio wanasiasaHawa wapinzani nimeamini hawama principles, ni watu wa kupelekwapelekwa na njaa.
Wakiminywa kidogo njaa ikawauma, wanajipeleka wenyewe kama wasenge
Chama kilichoikitoa chama cha KANU madarakani hakikuwa cha kipumbavu kama hii CHADEMA.Hata huku Tanzania kilitokea chama chenye weledi,tofauti na hivi vikundi vya kisiasa vilivyopo, CCM Itatoka madarakani.Enzi KANU inatamba ccm huko Kenya, wapambe wake walikuwa wanasema KANU ndio chama pekee kinaweza kuiongoza Kenya. Leo hii KANU imeondolewa madarakani, na Kenya ni bora kiuchumi, kielimu, kibiashara, kiafya nk, kuliko Tanzania ambayo haijawahi kutawaliwa na chama nje ya ccm.
Chama kilichoikitoa chama cha KANU madarakani hakikuwa cha kipumbavu kama hii CHADEMA.Hata huku Tanzania kilitokea chama chenye weledi,tofauti na hivi vikundi vya kisiasa vilivyopo, CCM Itatoka madarakani.
Hakuna chochote Kenya imeizidi tz,!
Kingine Pale Kenya KANU bado ipo kwenye madaraka sema ili jigeuza tu sura.
Ruling class ya KENYA bado ni ile ile tangu inapata Uhuru.
Kwahiyo point yako nini hapa? Unataka kusema kwamba duniani tulipaswa kuwa level moja katika kila kitu au? Kwamba chadema ndio chama kinachoweza kuifanya Tanzania iipite kenya katika nyanja zote ulizotaja hapo juu? Aiseeh😂😂Sio kwamba nina mashaka na nilichosema, sisi tunawazidi hao wakenya eneo la kijiografia na idadi ya watu. Lakini uchumi, viwanda, afya, elimu, kisiasa nk, wanatuzidi tena kwa mbali...
Hahahhaha... Uchumi upi Kenya imetuzidi wakati hakuna wanachi masikini kama wakenya?Sio kwamba nina mashaka na nilichosema, sisi tunawazidi hao wakenya eneo la kijiografia na idadi ya watu. Lakini uchumi, viwanda, afya, elimu, kisiasa nk, wanatuzidi tena kwa mbali.
Hatujali kama huko Kenya chama kilijibadili, lakini tunajua Moi aliyekuwa Mzungu mtu alipigwa chini na KANU yake full stop.
Mshikaji anahisi zile figar za GDP ndio zinafanya Kenya iwe na uchumi mkubwa. Nenda kwa wananchi wake uone walivyo chakaaKwahiyo point yako nini hapa? Unataka kusema kwamba duniani tulipaswa kuwa level moja katika kila kitu au? Kwamba chadema ndio chama kinachoweza kuifanya Tanzania iipite kenya katika nyanja zote ulizotaja hapo juu? Aiseeh[emoji23][emoji23]
Mbowe yupi?MBOWE na CHADEMA tu watabaki kuwa Miamba ya Siasa za Upinzani Tanzania.
Mungu awabariki.
utajua hujuiMbowe yupi?
Chadema ipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kuchekesha wasiotaka kucheka bhana mdogo
Wakiambiwa Tz imeingia uchumi wa Kati wanajifanya kuleta hoja za kuangalia maisha ya raia mmojammoja,Ila wakitajiwa figure za kenya GDP, hawataki kusikia kabisa swala la maisha ya raia mmojammoja huko kenya😂.Wanafiki wakubwa hawa wakina tindo.Mshikaji anahisi zile figar za GDP ndio zinafanya Kenya iwe na uchumi mkubwa. Nenda kwa wananchi wake uone walivyo chakaa
Rejea mwanzo wa hizi post ili ujue nimefikia vipi kwenye huu ulinganifu.Kwahiyo point yako nini hapa? Unataka kusema kwamba duniani tulipaswa kuwa level moja katika kila kitu au? Kwamba chadema ndio chama kinachoweza kuifanya Tanzania iipite kenya katika nyanja zote ulizotaja hapo juu? Aiseeh😂😂
Hahahhaha... Uchumi upi Kenya imetuzidi wakati hakuna wanachi masikini kama wakenya?
Kuna kundi dogo sana pale Kenya ndio linalofaidi matunda ya nchi ya kenya na ndio hiyo ruling class ya Kenyatta wengine wote machokoraa tu.
Wakiambiwa Tz imeingia uchumi wa Kati wanajifanya kuleta hoja za kuangalia maisha ya raia mmojammoja,Ila wakitajiwa figure za kenya GDP, hawataki kusikia kabisa swala la maisha ya raia mmojammoja huko kenya😂....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania hapa unaweza kweli ukawa huna mbele wala nyuma lakini kamwe huwezi kufa kwa njaa!Wakiambiwa Tz imeingia uchumi wa Kati wanajifanya kuleta hoja za kuangalia maisha ya raia mmojammoja,Ila wakitajiwa figure za kenya GDP, hawataki kusikia kabisa swala la maisha ya raia mmojammoja huko kenya[emoji23]...
Siyo Pekeako unaenda Kenya, wote tunaijua Kenya ilivyo.Nimekaa Kenya na huwa naenda kwa shughuli zangu fulani fulani. Napenda nikushauri, toka nje ya box ili uwe kwenye mazingira mazuri ya kuona hicho unacholishwa.