Bado tinarejea palepale,kama kweli wewe umefika na kuishi kenya kama unavyojitanabaisha hapa jukwaani, UCHUMI wao kama tuuonavyo kwenye karatasi ni sawa na maisha ya wananchi?Ni vizuri ukatumia neno halisi, uchumi wa chini wa kati, lakini wengi wetu hatuoni utofauti wa uhakika, baina ya huu uchumi wa chini wa kati, na wa hapo kabla.
Siyo Pekeako unaenda Kenya, wote tunaijua Kenya ilivyo.
Hako kakundi kadogo ka watu wachache pale Nairobi kasikufanye uone Wakenya wana maisha mazuri sana.
Toka nje ya Nairobi uujionee uchumi halisi wa Mkenya.
Kujiunga na SUK, NDIO ni kukubali uchaguzi na Kumtambua alietangazwa mshindi.1. Kujiunga SUK ni kuhalalisha Uchaguzi haramu?
Hapana. ACT Wazalendo kimechukua na kinaendelea kuchukua hatua mbalimbali za ndani na nje ya nchi kuupinga uchaguzi huu na matokeo yake. Chama kitaendelea kufanya hivyo, ikiwemo kupigania Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili kuhakikisha uchaguzi nchini unakuwa huru na wa haki....
Naona mnafarijiana ninyi kwa nyinyi.Kabisa, kukaza sana sio poa.
Usaliti gani mkuu?Msiba wa usaliti
Wahusika walishautambua, mnaopiga kelele ni nyie[emoji1787]Usaliti dhidi ya azimio la kutotambua uchaguzi.
Nakala,
View attachment 1643480View attachment 1643481
Alishakubali kuteuliwa,mbona mnaoumia ni wengine?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kusema ukweli Mkuu nimegeuka mpiga kelele!
Wapi na lini Mkuu hao wahusika wamesema wanautambua zaidi ya undumila kuwili?
ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu...
Usaliti kwako wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umeona vazi la kupiga kelele ulilonivisha halinitoshi, sasa umeamua kuniongezea na la maumivu. Isokee kwa kuwa umenichagulia!
Mimi sijasema kakataa kuteuliwa, kafanya maamuzi kwa raha zake.
Pointi yangu ni mdogo tu, "kilichofanyika ni usaliti".
Hakuna walichosaliti[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Mkuu kukubali kitu kidogo tu kuwa hao jamaa wamesaliti azimio walilolitamka na kwa maandishi wao wenyewe ina kuwia ugumu kiasi hiki! Aisee!
Kiapo Mkuu ulichokula ni kizito.
In politics, there is no permanent friends or permanent enemies, there is only a common interest.Usaliti dhidi ya azimio la kutotambua uchaguzi.
Nakala,
View attachment 1643480View attachment 1643481
Ndiyo Muache kulalamika.Aisee! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja niweke mbwembwe kando.
Maana ni kama nakushawishi kuvunja miiko ya kwenu.
"Mataga Wa buku saba"si ndio?Naona mnafarijiana ninyi kwa nyinyi.
Na mmekaa benchi moko hapo lmba.