Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Kama kuna siku umeongea point basi ni Leo yaan umecheza kama pele kumbe muda mwingine unakuwa una uelewa mzuri ila unajichetua tu.Nitajie mpinzani mmoja tu ukimtoa Tundu Lisu ambaye hayuko CCM!
Haahaa Sasa wanampinga Nani? Teteeni tu, ila wapemba wameumia Sana...kina maalim wao wanaangalia matumbo Yao tuKwani upinzani kuwa serikalini ni dhambi?
Kwaiyo wewe una Akili kumzidi Maalim seif na kamati nzima ya ACT WAZALENDO?ACT wameharibu sana, walichojikifanya ni shortsighted kwa kiwango kikubwa sana. Kiufupi wameuza mechi!..
Kwa sasa ACT wazalendo ndio chama kikuu cha upinzani!
Inasikitisha sana imagine watu wamekufa wamefungwa wengine mpk Leo halafu kutoa maamuzi kwanini wasiwashirikishe wanachama waoHaahaa Sasa wanampinga Nani? Teteeni tu, ila wapemba wameumia Sana...kina maalim wao wanaangalia matumbo Yao tu
Wanaipinga CCM siyo serikali bwashee!Haahaa Sasa wanampinga Nani? Teteeni tu, ila wapemba wameumia Sana...kina maalim wao wanaangalia matumbo Yao tu
Haahaa kamati kuu Yao imechemsha. Uchaguzi huu umeua wapemba wengi na kuacha wengi majeruhi...walipaswa kuacha ubinafsi kwanzaKwaiyo wewe una Akili kumzidi Maalim seif na kamati nzima ya ACT WAZALENDO?
Haahaa serikali ya chama gani mkuuWanaipinga CCM siyo serikali bwashee!
Wanachama wamepiga kura ya maoni na ndio walioamua!Inasikitisha sana imagine watu wamekufa wamefungwa wengine mpk Leo halafu kutoa maamuzi kwanini wasiwashirikishe wanachama wao
Kwani kuna uchaguzi ambao watu hawakufa?Haahaa kamati kuu Yao imechemsha. Uchaguzi huu umeua wapemba wengi na kuacha wengi majeruhi...walipaswa kuacha ubinafsi kwanza
Tangu lini wenye njaa na tamaa ya mbweha wakatumia akili?Kwaiyo wewe una Akili kumzidi Maalim seif na kamati nzima ya ACT WAZALENDO?
Walipowapeleka akina Halima Mdee bungeni!Walionyesha uroho wa madaraka lini?
Leo unawakataa?!Tangu lini wenye njaa na tamaa ya mbweha wakatumia akili?
Hapana ile ni kamati ya ACT ambayo ni wanachama waliokuwa viongozi wa ACT na wala sio wananchi wa kawaida wangekusanya maoni kutoka katika wanachama wa kawaida ambao ni raia wa kawaidaWanachama wamepiga kura ya maoni na ndio walioamua!
Kwa utashi wa wananchi!Nimecheka kwa nguvu, eti chama kikuu cha upinzani. Unakuwa chama kikuu cha upinzani, sio kwa kura bali kwa utashi wa tiss!
Niikuwa nawapa benefit of doubt, leo nimejiridhisha pasipo na shaka kuwa mbele ya njaa wanatepeta kiulaini sanaLeo unawakataa?!
Viongozi siyo wananchi bwashee?Hapana ile ni kamati ya ACT ambayo ni wanachama waliokuwa viongozi wa ACT na wala sio wananchi wa kawaida wangekusanya maoni kutoka katika wanachama wa kawaida ambao ni raia wa kawaida
Kwa utashi wa wananchi!
Wangekuwa hawana njaa wasingekuwa wapinzani!Niikuwa nawapa benefit of doubt, leo nimejiridhisha pasipo na shaka kuwa mbele ya njaa wanatepeta kiulaini sana