ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

Nitajie mpinzani mmoja tu ukimtoa Tundu Lisu ambaye hayuko CCM!
Kama kuna siku umeongea point basi ni Leo yaan umecheza kama pele kumbe muda mwingine unakuwa una uelewa mzuri ila unajichetua tu.

Jibu hakuna mpinzani wa kweli kama Lissu that's why walitaka kumuua.

Hapo sikubishii Mkuu
 
Kwaiyo wewe una Akili kumzidi Maalim seif na kamati nzima ya ACT WAZALENDO?
Haahaa kamati kuu Yao imechemsha. Uchaguzi huu umeua wapemba wengi na kuacha wengi majeruhi...walipaswa kuacha ubinafsi kwanza
 
Wanachama wamepiga kura ya maoni na ndio walioamua!
Hapana ile ni kamati ya ACT ambayo ni wanachama waliokuwa viongozi wa ACT na wala sio wananchi wa kawaida wangekusanya maoni kutoka katika wanachama wa kawaida ambao ni raia wa kawaida
 
Back
Top Bottom