Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
HIYO NDIYO POLITICAL SCIENCE.
Mojawapo ya tafsiri ya Politics:-
'Who gets What, When and How'
Mojawapo ya tafsiri ya Politics:-
'Who gets What, When and How'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe pale chadema uenyekiti ni wa Mbowe na ukitaka kugombea umesaliti chama?Zito alisha saliti CDM enzi hizo, kutaka uenyekiti wa Mbowe, si mtu wa kumwamini. Kwa hili mimi sioni ajabu maana Zito ana historia ya usaliti!
Sasa sijui watawaambia Nini wanachama na wafuasi wao waliofiwa na ndugu zao . Hawana haya kabisa aiseee .Siasa ni mchezo wa kufanya calculations.
Sumu haionjwi [emoji16][emoji23]Kumbe pale chadema uenyekiti ni wa Mbowe na ukitaka kugombea umesaliti chama?
Njaa haina shujaa
Mliwasifia kuwa ndo wapinzani wa kweli kwa kukataa kujiunga, baada ya akina mdee kuingia bungeni.Kufuatia uamuzi was chama Cha Act Wazalendo kukubali kushiriki serikali ya mapinduzi Zanzibar huku wakijua kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki , huku wakijua kuna watu wameuawawa , kupigwa , kuteswa , kufungwa , bambikiwa kesi , chomewa nyumba bila kujali madhira waliyoyapata wafuasi na wanachama wao leo hii Zitto Kabwe...
Ulitegemea wafanyaje..siasa za kibongobongo ni kama wamesusiwa wanasiasa wenyewe...waliitisha maandamano baada ya uchaguzi wananchi wangapi walijitokeza?..si wote tuliendelea na mishe zetu tu na wengine hawakutoka ndan kabisa hiyo siku ....hakuna mtu ataendelea kupigania watu wengine daily huku yeye anaumia wakati wanaopiganiwa wako busy na michakato yao...the same kina Halima Mdee na wenzake...ni kama kila mtu ameamua kupigania nafsi yake,Zitto Kabwe na Maalim Seif Sharifu Hamad nimewadharau kweli kwa huu upuuzi walioufanya .
Naomba upewe gilasi ya maji kwanza unywe huko uliko., Elewa kwamba siasa za zanzibar na kule bara kuna maeneo zinatofautiana sana , waliopitisha azimio lile sio maalim seif na zitto ni kamati kuu ACT wazalendo.Kufuatia uamuzi was chama Cha Act Wazalendo kukubali kushiriki serikali ya mapinduzi Zanzibar huku wakijua kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki , huku wakijua kuna watu wameuawawa , kupigwa , kuteswa , kufungwa , bambikiwa kesi , chomewa nyumba bila kujali madhira waliyoyapata wafuasi na wanachama wao leo hii Zitto Kabwe...
Huku bara lini ulikuwa huru na haki?Uchaguzi wa Zanzibar haujawahi kuwa huru na wa haki tangu 1995 kwa hiyo bora washiriki tu huku wakijipanga kuja na mbinu nyingine
Ni vizuri kajitoa mapema. Ila wasifanye makosa kama yale ya Prof Lipumba, safari hii wahakikishe kamati kuu wanampa barua kabisa ya kujitoa chamani na kumvua nafasi zake zote za uongozi.Membe alikuwepo? Mshauri wenu. Yaani mlikosea sana kumpokea Membe.
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
Sasa yule kiongozi mkuu wao aende kukusanya vikaratasi vyote alivyovisambaza kwenye jumuia mbalimbali. Akituhumu uchaguzi.
Mkuu King Kisali , kwanza naheshimu mawazo yako, pia I share your concerns, uamuzi huu ni uamuzi wa busara sio kususa tuu bila mpango wowote, na kuendelea kususa ambako hakuna manufaa yoyote!.Kufuatia uamuzi was chama Cha Act Wazalendo kukubali kushiriki serikali ya mapinduzi Zanzibar huku wakijua kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki , huku wakijua kuna watu wameuawawa....