ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

HIYO NDIYO POLITICAL SCIENCE.
Mojawapo ya tafsiri ya Politics:-
'Who gets What, When and How'
 
Zito alisha saliti CDM enzi hizo, kutaka uenyekiti wa Mbowe, si mtu wa kumwamini. Kwa hili mimi sioni ajabu maana Zito ana historia ya usaliti!
Kumbe pale chadema uenyekiti ni wa Mbowe na ukitaka kugombea umesaliti chama?
 
Mzee hajajivunga kaufakamia msosi .
Screenshot_20201121-125356.png
 
Uchaguzi wa Zanzibar haujawahi kuwa huru na wa haki tangu 1995 kwa hiyo bora washiriki tu huku wakijipanga kuja na mbinu nyingine
 
Kufuatia uamuzi was chama Cha Act Wazalendo kukubali kushiriki serikali ya mapinduzi Zanzibar huku wakijua kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki , huku wakijua kuna watu wameuawawa , kupigwa , kuteswa , kufungwa , bambikiwa kesi , chomewa nyumba bila kujali madhira waliyoyapata wafuasi na wanachama wao leo hii Zitto Kabwe...
Mliwasifia kuwa ndo wapinzani wa kweli kwa kukataa kujiunga, baada ya akina mdee kuingia bungeni.

Sasa wenzenu wamejiunga nakuingia bungeni wakati ninyi mmefukuza watu ili mzionekane walaini, sasa mnabaki na kizunguzungu.
 
Zitto Kabwe na Maalim Seif Sharifu Hamad nimewadharau kweli kwa huu upuuzi walioufanya .
Ulitegemea wafanyaje..siasa za kibongobongo ni kama wamesusiwa wanasiasa wenyewe...waliitisha maandamano baada ya uchaguzi wananchi wangapi walijitokeza?..si wote tuliendelea na mishe zetu tu na wengine hawakutoka ndan kabisa hiyo siku ....hakuna mtu ataendelea kupigania watu wengine daily huku yeye anaumia wakati wanaopiganiwa wako busy na michakato yao...the same kina Halima Mdee na wenzake...ni kama kila mtu ameamua kupigania nafsi yake,
 
Kufuatia uamuzi was chama Cha Act Wazalendo kukubali kushiriki serikali ya mapinduzi Zanzibar huku wakijua kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki , huku wakijua kuna watu wameuawawa , kupigwa , kuteswa , kufungwa , bambikiwa kesi , chomewa nyumba bila kujali madhira waliyoyapata wafuasi na wanachama wao leo hii Zitto Kabwe...
Naomba upewe gilasi ya maji kwanza unywe huko uliko., Elewa kwamba siasa za zanzibar na kule bara kuna maeneo zinatofautiana sana , waliopitisha azimio lile sio maalim seif na zitto ni kamati kuu ACT wazalendo.

Hoja ya kwamba wananchi wakichukie chama elewa kwamba maoni ya wananchi ndio yaliyoleta nguvu wao kukubali kuunda SUK kule Zanzibar, ni kwa bahati mbaya sana Tanganyika munapenda kuiletea maoni Zanzibar kwa kipi kinafaa na kipi hakifai.

Walioamua hivyo ni wazanzibar nadhan wao wameona maslah yao yako wapi, ni vyema wakapewa Muda kwenye hiyo SUK tone matunda yk.,
 
Haiingii Akilini na pia haiwezekani ndani ya Wiki mbili tu Vyama vya Upinzani ambavyo hata Sisi wana CCM tulivitegemea kuwa vitakuwa 'imara' ili vitupe 'Changamoto' kimoja kimeshaanza 'Kumeguka' taratibu na kingine kimeshaanza kuonyesha jinsi kilivyo na Viongozi wake 'Wanafiki' ambapo kuna Mmoja Wao ambaye nadhani anahitaji Tiba ya Akili upesi nae tarehe 1 January, 2021 anawakimbia.

Kuna 'Upuuzi' ambao ni 'nadra' sana Kuukuta katika Chama changu pendwa cha CCM ila kwa wenye Demokrasia yao na Uzalendo wao utaukuta tu.
 
Nawapongeza ACT Wazalendo kwa uamuzi wa busara kwa maslahi ya ya Tanzania Kwanza katika kikao chao kuliko wale wengine wenye tabia ya "KUSUSA-SUSA" !
IMG_20201206_152359_127.jpg
 
Membe alikuwepo? Mshauri wenu. Yaani mlikosea sana kumpokea Membe.
Ni vizuri kajitoa mapema. Ila wasifanye makosa kama yale ya Prof Lipumba, safari hii wahakikishe kamati kuu wanampa barua kabisa ya kujitoa chamani na kumvua nafasi zake zote za uongozi.
 
Binafsi yangu NAMPONGEZA MAALIM NA NINATAKA AWE MAKAMU WA RAIS WA KWANZA..
AANZE KUPAMBANA NA CCM AKIWA NDANI YA SYSTEM.
Ila asije akajisahau
 
Kufuatia uamuzi was chama Cha Act Wazalendo kukubali kushiriki serikali ya mapinduzi Zanzibar huku wakijua kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki , huku wakijua kuna watu wameuawawa....
Mkuu King Kisali , kwanza naheshimu mawazo yako, pia I share your concerns, uamuzi huu ni uamuzi wa busara sio kususa tuu bila mpango wowote, na kuendelea kususa ambako hakuna manufaa yoyote!.

Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.

Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.

P
 
Back
Top Bottom