Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

kuna hii nyingine ADMAVEN naona masharti yao ya kujiunga sio magum na nimejiunga saa hilo hilo na wamenipa ads code ingawa hayajatoke kwenye blog labda sababu nina ads za adsterra
 
Wakuu hii inshu ya search engine mnaionajje maana mi blog zangu zote hamna hata moja iliyokwa indexed yaan mpaka uweke link nzima ndo itatokra google search
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…