Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Adsterra hua ukiwa na watembeleaji wachache hutoona matunda kuna kipindi nilipata watembeleaji 1200 kwa masaa kadhaa pesa ilisoma kwa kasi sana ili wakipungua tu utadhani wanakuibia
Capture.PNG
 
kuna hii nyingine ADMAVEN naona masharti yao ya kujiunga sio magum na nimejiunga saa hilo hilo na wamenipa ads code ingawa hayajatoke kwenye blog labda sababu nina ads za adsterra
nb.PNG
 
Wakuu hii inshu ya search engine mnaionajje maana mi blog zangu zote hamna hata moja iliyokwa indexed yaan mpaka uweke link nzima ndo itatokra google search
 
Back
Top Bottom