Izy_Name
JF-Expert Member
- Apr 9, 2020
- 772
- 1,733
iko pow ila rekebisha muonekanonimeona ila umetumia platform gan kuiunda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
iko pow ila rekebisha muonekanonimeona ila umetumia platform gan kuiunda
Mbona sipatambui hapo!?shida inakuja hapa View attachment 2132243
sanasana ni sehemu gani haipendezi HEADER, BODY au FOOTER?iko pow ila rekebisha muonekano
hailo ni matatizo yangu mwenyeweMbona sipatambui hapo!?
Adsterra hua ukiwa na watembeleaji wachache hutoona matunda kuna kipindi nilipata watembeleaji 1200 kwa masaa kadhaa pesa ilisoma kwa kasi sana ili wakipungua tu utadhani wanakuibiashida inakuja hapa View attachment 2132243
Kotesanasana ni sehemu gani haipendezi HEADER, BODY au FOOTER?
Adsterra hua ukiwa na watembeleaji wachache hutoona matunda kuna kipindi nilipata watembeleaji 1200 kwa masaa kadhaa pesa ilisoma kwa kasi sana ili wakipungua tu utadhani wanakuibia
Adsterra wezi wale sometimes mapato yanapunguaAdsterra hua ukiwa na watembeleaji wachache hutoona matunda kuna kipindi nilipata watembeleaji 1200 kwa masaa kadhaa pesa ilisoma kwa kasi sana ili wakipungua tu utadhani wanakuibia
USA ukiwa na adsense ni bonge la Chaka la mavuno
adsense wanataka uwe na muda gani ndo umonetiseUSA ukiwa na adsense ni bonge la Chaka la mavuno
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hip ni picha tuUmeweka ads au ni online pictures ?View attachment 2133251
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Umeweka matangazo ya adnetwork gani?
Ngoja nikupe support hapa
Naam kiongozi
Naam kiongozi