Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Mimi pia nimeomba AdSense ila bado niko pending, nikakutana na uzi hapa nikajiunga na Adstera na kisha propellerads ingawa wao wanagomea blogspot.com.
Nikatumia Direct Link nikaona kama nimefaulu,sasa wananiletea takwimu hizo sijaelewa ni nini..?

View attachment 2109551
Mkuu hapo kwenye impression inamaana ni visitors wa direct link yako
profit ni kiasi ulichovuna au mapato uliopata
CPM rate ni uwiano kwa watembeleaji 1000
 
Wadau naomba mnisaidie hapa,nina blog changa na nimeomba AdSense ila bado niko pending, kupitia ushauri wenu hapa nikapata adstera wako poa kidogo.
Ila pia nimepata Propellerads japo wao wana command usitumie .blogspot.com ,ila nikafaulu Direct Link,sasa kuanzia jana naona hizi takwinu ni za nini sizielewi.

View attachment 2109502

View attachment 2109503
weka link ya blogu tuitembelee
 
Kwa mtindo huu unapata enough traffic? Mana wanasema the more you narrow down ur niche, the more you stay in ur customers mind. Yaan mtu akihitaji lets say kujifunza kuhusu popunder anajua moja kwa moja nikiingia safari blog ntajifunza. Ila ukiwa na niche nyngnyng kwny blog moja mteja kukumbka n ngumu
 
kabisa
 
Karibuni wadau katika blog yangu japo ndo inaanza,mnitembelee na kunipa ushauri namna ya kuiendesha na kupata watembeleaji wengi:
nwanajamiitanzania.blogspot.com
 
Back
Top Bottom