Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

M
Badili muonekano wa blog Yako kisha fanyia kazi suala la kuweka Read more ili story zivutie watu kusoma ndani post zako, mengine utajifinza mdogo mdogo ila tafuta template ambazo ni SEo ready au faster theme ili blog Yako ifunguke kirahisi

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Naomba unisaidie taratibu namna ya kuboresha,kuna vitu vingi najifunza mtandaoni.
Nianzie wapi,na nimalizie wapi kaka.
 
Sema Adsense views wa Bongo ni kisanga kuna jamaa Anangiza Views Elfu 40000 lakini Anapata Dollar 5 kwa siku
Mimi nikikubaliwa na AdSense, hata nikianza kulipwa $2 kwa siku nitaona poa.
Cha msingi natamani sana kufikisha elimu kwa jamii,japo bado najifunza namna ya kuitengeneza blog ivutie kimtazamo.
 
M

Naomba unisaidie taratibu namna ya kuboresha,kuna vitu vingi najifunza mtandaoni.
Nianzie wapi,na nimalizie wapi kaka.
Unauelewa na blog design¿ Kama huna yakupasa ujifunze taratibu kwenye machapisho ya blog nyingine juu ya kuset muonekano wa blog Yako, au hata kwa njia ya video waweza jifunza.. usijitoe kutafuta watu wakutengenezee alafu wakakuibia ukapigwa elfu 50 huko... Tenga muda kujifunza hakuna aliyezaliwa anajua

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Unauelewa na blog design¿ Kama huna yakupasa ujifunze taratibu kwenye machapisho ya blog nyingine juu ya kuset muonekano wa blog Yako, au hata kwa njia ya video waweza jifunza.. usijitoe kutafuta watu wakutengenezee alafu wakakuibia ukapigwa elfu 50 huko... Tenga muda kujifunza hakuna aliyezaliwa anajua

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kweli ndugu yangu nashukuru sana kwa ushauri wako, kuna theme nimeweka nimekuta kwenye customize theme, imeandikwa first generation theme.
Naomba kama hautajali uangalie kisha unishauri kitu gani cha kuongezea tena.
 
Sio mbaya Kwa mwanzo. Ila fanyia kazi suala la kujifunza hakuna gharama ni wewe na muda wako tu..

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mimi nikikubaliwa na AdSense, hata nikianza kulipwa $2 kwa siku nitaona poa.
Cha msingi natamani sana kufikisha elimu kwa jamii,japo bado najifunza namna ya kuitengeneza blog ivutie kimtazamo.
Hauwezi kuyapata kwenye blogu ya kiswahili
 
Within hizi siku 30 nitatengeneza blog from scratch. Lazima nipambane iwe bora nishaandaa na gharama kabisa. Mkaruka vipi nikiwa na Core i3 na RAM 4 desktop haitasumbua kwenye mambo ya Elementor uko na speed
Haina tatizo kabisa
 
Haina tatizo kabisa
Tatizo ni speed ya internet ninayo ndogo. Nishapiga tutorials za kutengeneza blog kupitia YouTube nataka kutumia Elementor na Grammarly. Kwa mwaka nikilipia host site na domain ni kama shilingi ngapi sijui.

Elementor Pro ni lazima nitumie ili iwe ya kisasa ila naona kuna kama $4/month parefu ingawa uko kuna templates nyingi ningezitumia. Vipi hii Glammarly ya kulipia ni bei gani maana English yetu hii ya Ndalichako siamini kama itashawishi wasomaji. Ningeshakuwa na blog muda sana kama ingekuwa Kiswahili ila wabongo wanapenda story za Mobeto ambazo siko interested hivyo siwezi fanikiwa, na hawana hela.

Vipi kuhusu quality ya picha tunafanyaje. Kuna Unsplash ina picha angalau zina quality na free kwa wanaotaka. Iko Pexels pia ila haina library kubwa. Ingieni blog ya swahilifood.com muone quality ya picha, yule ana camera ila sie tupambane na free pics.

Naona kila siku nazidi kusema nitafanya kesho
 
Back
Top Bottom