Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Mkuu hapo kwenye impression inamaana ni visitors wa direct link yako
profit ni kiasi ulichovuna au mapato uliopata
CPM rate ni uwiano kwa watembeleaji 1000
 
weka link ya blogu tuitembelee
 
Kwa mtindo huu unapata enough traffic? Mana wanasema the more you narrow down ur niche, the more you stay in ur customers mind. Yaan mtu akihitaji lets say kujifunza kuhusu popunder anajua moja kwa moja nikiingia safari blog ntajifunza. Ila ukiwa na niche nyngnyng kwny blog moja mteja kukumbka n ngumu
 
kabisa
 
Karibuni wadau katika blog yangu japo ndo inaanza,mnitembelee na kunipa ushauri namna ya kuiendesha na kupata watembeleaji wengi:
nwanajamiitanzania.blogspot.com
 
hii itakuwa poa embu tujuzeni
Yaani Iko hivi unatafuta bloggers wenye ads kutoka nchi tofauti na Yako then mnabadilishana Link za blog zenu yeye anatembelea yako then nawe unavisit yake mnatakiwa kuaminiana sana.. unatafuta kwenye magroup huko FB hii ndo njia tulikuwa tunatumia kabla ya Kodi ya mtandao

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…