Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
- Thread starter
-
- #141
Sasa mbona hujaeleza njia za kutoa hela zako ulizomake
Hauwezi kuyapata kwenye blogu ya kiswahili
tumia kiingereza au kama au kama utatumia kiswahili utumie makampuni mengine ya matangazoNifanyeje kaka niyapate..?
Nashukuru sana ndugu yangu,nimeweka matangazo ya adstera banner,revenuehit,na propellerads.Pia nimebadilii theme na kuweka design mpya,naomba unitembelee tena ili unipe ushauri zaidi.tumia kiingereza au kama au kama utatumia kiswahili utumie makampuni mengine ya matangazo
Ondoa matangazo ya revenuehitNashukuru sana ndugu yangu,nimeweka matangazo ya adstera banner,revenuehit,na propellerads.Pia nimebadilii theme na kuweka design mpya,naomba unitembelee tena ili unipe ushauri zaidi.
Nashukuru sana ndugu yangu,nimeweka matangazo ya adstera banner,revenuehit,na propellerads.Pia nimebadilii theme na kuweka design mpya,naomba unitembelee tena ili unipe ushauri zaidi.
Naomba link ya blog yako ni niangalie
bado ujaiweka poa angalia yangu
Naomba link ya blog yako ni niangalie
Mzee baba saa hivi blog Yako naipa big up saluteUnamiliki blogu ya kiswahili? tumia makampuni haya ya matangazo kunufaika......
Unamiliki blogu ya kiswahili? tumia makampuni haya ya matangazo kunufaika......www.safariafricablog.com
Napambania views tu maana hiyo ni mpya bado sina traffic hata za kuwepata $1 kwa mwezi hapa nampango wa kutafuta blogger mwenye views wengi nitangaze kwakeMzee baba saa hivi blog Yako naipa big up salute
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Share link za post zako kwenye public group za FB, na hata social network zingine kama Whatsapp/TelegramNapambania views tu maana hiyo ni mpya bado sina traffic hata za kuwepata $1 kwa mwezi hapa nampango wa kutafuta blogger mwenye views wengi nitangaze kwake
Ngoja nitumie wazo lakoShare link za post zako kwenye public group za FB, na hata social network zingine kama Whatsapp/Telegram
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Unalipia...nikutangazieNapambania views tu maana hiyo ni mpya bado sina traffic hata za kuwepata $1 kwa mwezi hapa nampango wa kutafuta blogger mwenye views wengi nitangaze kwake
Kiasi gani?Unalipia...nikutangazie
Njoo dmKiasi gani?
Lita saidia sana hiliWazo jipya la kujipatia watazamaji katika blogu zetu mpya Ingia katika group la telegram ambalo tutakuwa tunaweka links za blogu au tovuti zetu kisha tutaingia na kuclick matanzazo hayo tutafanya hivyo kwa wote link below