Mfipa Origino
Member
- Apr 25, 2016
- 78
- 43
Mkuu blogu yako bado aijawa tayariHaileDavy na Binadamu Mtakatifu naombeni ushauri tena,nimefungua blog nyingine napost kuhusu Electrical Engineering kwa kutumia lugha ya Kiingereza.
Nina post 5 na watembeleaji 56 kwa muda wa wiki moja,nimeomba AdSense wamejibu hivi:View attachment 2120392
Mkuu naona bado uwezi tengeneza blogu nzuri ninaandaa video nitaiweka kesho alafu nitakutagLink ya blog hii hapa:
Mkuu naona bado uwezi tengeneza blogu nzuri ninaandaa video nitaiweka kesho alafu nitakutagLink ya blog hii hapa:
nimeshindwa kuitengeneza sababu ni screen recorder yangu ila unapatikana pande zipiSawa ndugu yangu,nahitaji msaada wako.
Ongeza post ndugu yangu alafu pitia email ya adsense kujua makosa Kisha yarekebisheLink ya blog hii hapa:
Mbona umemix vitu mkuuSumbawanga,naomba chungulia tena hii blog nilidownload template:
nwanajamiitanzania.blogspot.com
Kwa blog ya movie's inafaa proper ads na adsterra Tena yale ma popunder na direct linkkuna marekebisho mengi yanahitajika ili kujapata hayo matangazo mimi mdogo mdogo adsterra inanipatia japo sio sana na saivi nataka niweke movies watu wa download mbona direct links zitantajirisha
Jina la blog Yako ni refu sana lakini haiwezi zuia kitu.. mkulu wa nchito sijui inchito ... Ahahaha nimesoma swax advanceLink ya blog hii hapa:
Utaratibu wa kupata domain name ukoje mkuu...Jina la blog Yako ni refu sana lakini haiwezi zuia kitu.. mkulu wa nchito sijui inchito ... Ahahaha nimesoma swax advance
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Ukienda GoDaddy domain huwa haizidi $3Utaratibu wa kupata domain name ukoje mkuu...
Maana mimi nikitaka kutengeneza yangu kwa hao services provider gharama ni kubwa sana
Mimi nilinunua $1.8 huko godady