Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

HaileDavy na Binadamu Mtakatifu naombeni ushauri tena,nimefungua blog nyingine napost kuhusu Electrical Engineering kwa kutumia lugha ya Kiingereza.
Nina post 5 na watembeleaji 56 kwa muda wa wiki moja,nimeomba AdSense wamejibu hivi:
Screenshot_20220215-202559.png
 
HaileDavy na Binadamu Mtakatifu naombeni ushauri tena,nimefungua blog nyingine napost kuhusu Electrical Engineering kwa kutumia lugha ya Kiingereza.
Nina post 5 na watembeleaji 56 kwa muda wa wiki moja,nimeomba AdSense wamejibu hivi:View attachment 2120392
Mkuu blogu yako bado aijawa tayari
Ingia adsense bofya site kisha uangalie ninikimesababisha blogu yako kukataliwa

MB
ongeza post zifike angalau 15 - 20 ziwe ndefu kidogo na uchanganye na picha

hakikisha hakuna broken links
 
Sumbawanga,naomba chungulia tena hii blog nilidownload template:
nwanajamiitanzania.blogspot.com
 
kuna marekebisho mengi yanahitajika ili kujapata hayo matangazo mimi mdogo mdogo adsterra inanipatia japo sio sana na saivi nataka niweke movies watu wa download mbona direct links zitantajirisha
 
Nimebadili mahudhi ya blogu wote wapenzi wa movie na games chekin free download wewe tu

Utaratibu wa kupata domain name ukoje mkuu...

Maana mimi nikitaka kutengeneza yangu kwa hao services provider gharama ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom