Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

nime-develop mwenyewe, kwenye muonekano mbona mi naona kama iko poa tu hebu tuma screenshot nione kwako jinsi inavyooneka ili nijue namna ya kurekebisha
Binadamu Mtakatifu
 
Ndio maana Sisi madeveloper tunabidi tushirikiane na designer ili tupate kitu kilicho bora aisee jaribu kuimprove mkuu pili unatumia FreeHost tatu Unatumia subdomain any way jaribu Adsterra.com utapiga pesa kama unawatuwatu
 
My second Blog is now launched visit
 
Ndio maana Sisi madeveloper tunabidi tushirikiane na designer ili tupate kitu kilicho bora aisee jaribu kuimprove mkuu pili unatumia FreeHost tatu Unatumia subdomain any way jaribu Adsterra.com utapiga pesa kama unawatuwatu
Adsterra naona signup link haifunguki natumia opera mini au ndo tatizo
 
Inategemea na traffic mkuu ukiwa na watu wachache husogei
Mkuu web yangu imekuwa APPROVED popads, sasa kuweka codes za matangazo naambiwa nitoe "Anti-adblock codes'' sasa hizo adblock ndo zipi?
Mkuu naomba muongozo, sijui kabisa!
 
Hili swala lako mkuu hujaelewa tu vp unaeleimu kidogo kuhusu HTML
Kama sikosei umerequest code zenye antiblock adsterra hivyo itazuia kila mtumiaji wenye antblock na itakupunguzia watembeleaji
 
shida inakuja hapa
gc.PNG
 
Back
Top Bottom