Tetesi: Adaiwa kuficha tani tele za sukari Moshi

Tetesi: Adaiwa kuficha tani tele za sukari Moshi

naona mbuzi wa kafara wanatafutwa kwa udi na uvumba hili,kumfichia aibu na kuutua mzigo wa utendaji mbovu wa magufuli kwenda kwa wafanya biashara,ahahaha!
mbuzi wa sadaka wakiisha si mtatoana wenyewe kwa wenyewe nyie watu!
ahahaha
Kwa nini mfiche sukari kwa nini viwanda havizalishi,halafu mnataka watu wawachekee,nani ukweli nyie ndio wa kutolewa kafala,nyie ni wahujumu uchumi china mshanyongwa, nashangaa hapa hata kutumbuliwa bado
 
Hili la MO inabidi tuwe Na akiba ya maneno.
 
Napata shida kuamini madai ya MO kuficha sukari. Licha ya kua yeye ni superdealer Tangu mwezi wa tatu alikua hana sukari ya kilombero kabisa, katika maghala yake yote kanda ya ziwa, Kurasini na RTC kwa Dar pia sukari hakuna. Tufanye utafiti kabla ya kulaumu
 
Kama kwel ni MO si mwislamu safi yule,,afanye japo chembe ya ubinadamu,,,ila sio jambo zur kabisa kufanya hvo
 
....kwahiyo tukuamini wewe huo utafiti umeufanyia wapi?
 
Kama kwel ni MO si mwislamu safi yule,,afanye japo chembe ya ubinadamu,,,ila sio jambo zur kabisa kufanya hvo
Nakupongeza kada wa chama chetu. Najua hakuna maigizo yakukutumbua jipu yatakayofanyika umetusaidia sana chama chetu pendwa.
 
Haki za huyu mwananchi zizingatiwe katika kuutafuta ukweli, tusije tukamgeuza Mbuzi wa Kafara wakati yeye keshatumia pesa nyingi sana kuumiliki huo mzigo!
Leseni yake siyo ya kuhidhi au kumiliki Bali kufanya buashara ya sukari.
 
Hajaficha kahifadhi😵

Demand inapokuwa ipo juu sana then wee kwa makusudi ukaacha kusupply commodity inayohitajika na jamii, hapo unakuwa umehifadhi au umeficha. Nafikiri haujui kutofautisha kati ya kuficha na kuhifadhi🙁
hivi hiyo sukari aliiba huyo jamaa? kama kaipata kihalali kwani lazima aiuze kwa muda mnaotaka nyie? tatizo hapa ni serikali imeshindwa kuelewa kuwa uzalishaji wa ndani hauendani na demand. ndo maana serikali iliyotangulia ililijua hili na kuruhu sehemu inayopungua aiagize toka nje.
ifikie sehemu ukweli usemwe daima. hiyo ni sukari yake maana kanunua kwa pesa yake na wala magufuli au hata serikali yake hana hata senti yake hapo wala cha hisa. la muhimu serikali ikakusanye kodi. basi. kama halipi kodi hilo sawa lakini sio kwa vitu vyake bonafsi.
kama vipi serikali yenyewe inaweza fanya hiyo biashara moja kwa moja kuliko kusubiri hao wanaowaza faida kila kukicha na hawana hata nukta ya uchungu wala huruma kwa watanzania wenzao masikini.
 
Huyo ni mfanya biashara ameweka maliyake stoo wamsubiri iharibike akiuza tbs na mamlaka ya chakula wamkamate.Au ipo sheria inayo mkataza mfanya biashara kuweka maliyake ghalani?Au amepewa ruzuku na serikali anunue hiyo sukari?Kama ipo sheria sawa maana tusihukumu kwa utashi
 
Mimi sio kwamba nimefanya utafiti, bali mimi ni mhusika na kama una lingine uliza.
Ok braza kwa kua wewe ni mhusika sasa tueleze tatizo ni kwa sababu vibali vimepigwa marufuku, na the time kabla ya marufuku mliokua na vibali mlikua wangapi, halafu ni kweli kwamba mlikua mnaleta sukari iliyo expire na a u sure haujaficha sukari, nikiwa na maana kwamba nyie wafanya biashara ya sukari ndio mnaotegemewa ku supply hiyo bidhaa,mwisho kama majibu yako yatakua tofauti na aliyosema ngosha sema hapa tujue kama ngosha nae anatuvuruga
 
Mtawasingizia sana wafanya biashara badala ya kusema ukweli kuwa viwanda vyetu vya sukari havizalishi sukari ya kukidhi soko la ndani ya nchi. Tuwe wakweli. Pamoja na kuwa na nia nzuri ya kuvulinda vuwanda vyetu, tulikurupuka kuzuia sukari toka nje, serikali makini ingefanya logistic kujua tunazalisha kiasi gani na tunakuwa na upungufu kiasi gani.

Sehemu inayopungua katika hilo, serikali ingetoa vibali kuingiza sukari ili kutosheleza mahitaji.

Hili lingeendelea gradually mpaka pale tutakapokuwa na uwezo wa kulisha sukari kutosha ndani ya nchi ndipo ipige marufuku uingizaji toka nje.
Umeona TBC1 wakionyesha sukari iliyokua imefichwa ghala la mhindi????? Mhadzabe
 
Huyo ni mfanya biashara ameweka maliyake stoo wamsubiri iharibike akiuza tbs na mamlaka ya chakula wamkamate.Au ipo sheria inayo mkataza mfanya biashara kuweka maliyake ghalani?Au amepewa ruzuku na serikali anunue hiyo sukari?Kama ipo sheria sawa maana tusihukumu kwa utashi

.....zero!!!!
 
Back
Top Bottom