fdizzle
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,902
- 2,396
Punguza jazba,Tanzania ina operate under mixed economy.Kwani ni lazima kuuza? Kama ana mpango wa kuiuza nje ya nchi kwa nini alazimishwe? Mbona Bakhresa anasafirisha unga wa ngano nje ya nchi? Huu ni utawala wa kisheria, enzi za Ujamaa na Kujitegemea zilishazikwa na Azimio la Zanzibar, acheni watu wawe huru kuuza na kununua au kuhifadhi kadri wanavyotaka. Si tumeambiwa kuna shehena inakuja, au nahodha amebadili gia katikati ya bahari?
Nenda kapekue ujue mixed economy ni nin alaf ndio uje kutoka povu hapa