Mkuu huyu kama ni mwanamke aisee hafai hata ukipewa bure.. Kama mwanaume bhasi nasikitika sana kuona mwanaume mwenzangu anakuwa bogus kiasi hichinarudia tena kusema wewe ni bonge taahira ubongo wako umejaa makamasi ya punda
Sasa kumbe unajua kuwa hakuna haja ya kukileta kiumbe ambacho huna uwezo wa kukilea.Kuna haja gani ya kuleta kiumbe ambacho hata sina uwezo Wa kukilea katka maisha bora Hii hats mungu hapendi bora ubaki hii tu ww bila watoto kutesa watoto ,kama huyo mama ameamua kumuua mtoto sababu ya maisha mgumu basi yupo sahihi mtoto mwenye kichanga cha siku NNE,kwa mawazo yangu yupo sahihi
Ndomana Mie nimelisisitizia ni litaahira, kuna watu walianza ni matajiri lkn katikati ya safari wakaishiwa na kushindisha watoto wao kwa uji wa bila sukari na wakasimama tena kwa kudra za Mungu, lkn kwa akili za huyu taahira angewauwa watotoMkuu huyu kama ni mwanamke aisee hafai hata ukipewa bure.. Kama mwanaume bhasi nasikitika sana kuona mwanaume mwenzangu anakuwa bogus kiasi hichi
Utakuta huyo mwanamke alikuwa Kicheche hana bwana mmoja sasa nani atakubali kulea damu ambayo siyo yake?Dah!huyo mama asee [emoji22]. Why lakini!? Mtoto wa siku mbili unamuua na kumzika!?[emoji29]... wanaume tukumbuke wajibu wetu asee... tuacheni undavaundava...