Adaiwa kuua mke baada ya kunyimwa unyumba

Adaiwa kuua mke baada ya kunyimwa unyumba

wanawake msipo jitambua misiba kwenyu haitoisha, mwanaume akishakua na hamu ya kufanya tendo la ndoa, hubadilika akili na huwa sawa na beberu la mbuzi na hupagawa na kuwa kama mnyama unapomnyima unyumba, akili yake humjia, akishafanya tendo lenyewe. Sasa wewe mwanamke, unatarajia ukimnyima unyumba si kukudhuru tu?
Haujasoma vizuri. Amesema kuwa mwanamke ana siku 30 tokea alipojifungua. Hivi unajua mwanamke anaetoka kujifungua anakuwa katika hali gani ?!

Kwa kifupi mwanamke akijifungua anatakiwa kukaushiwa na mwanaume wake kwa at least siku 40+ hadi akae sawa kimwili ili kupata tena hamu ya kufanya na mwili kuwa stable baada ya kupona njia ya mtoto.

Hii nic automatic na ndio maana mwanamke akijifungua mtoto utaona anakuwa rafu na hakupi attention ili umpe distance na mtoto kwa wakati huo mtoto akiwa ana karibia zile siku 40.

Hii elimu watoto wa kiume wapewe mapema kabla ya kuingia katika ndoa.....itasaidia kuelewa namna ya kuhandle

Mambo mengine ni kujiendekeza tu. Unashindwa hata kijilipua moja la fasta bafuni na sabuni kupunguza hamu?!

Tukae na watoto wa watu vizuri na kuwajali sio kuanzisha makelele yasiyo na sababu za msingi.
 
Alikuwa mzazi mwezi mmoja.....we unaweza kumfanya mtu na labda alikuwa bado anavuja vuja
Wanaume wengi wao ni wasikivu, mke akimwambia nipo kwenye siku zangu huwa wanaridhika, lakini yakija majibu ya sikupi! nenda kamfanye mamaako! Wewe mwanaume gani nikupe "nini" yangu, ndio hapo balaa linapoanzia, subra kuisha na hasira za kudhuru zinakuja.
 
Fausta Silayo (22), Mkazi wa Kijiji cha Samanga wilayani Rombo ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba.

Mwanamke huyo ambaye bado alikuwa uzazi wa mwezi mmoja alichomwa kisu Julai 23 na kupelekea kifo chake Julai 24 wakati alipokuwa amewahishwa Hospitali ya Huruma kwa ajili ya matibabu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa kifo cha mwanamke huyo ambao amesema baada ya mwanaume huyo kufanya tukio hilo alikimbilia nchi jirani.

"Jeshi la polisi linaendelea na jitihada za kumtafuta mtuhumiwa wa tukio hilo ambaye inasemekana amekimbilia nchi jirani ili kumkamata na kumchukulia hatua za kisheria,"amesema Kamanda Maigwa.

Kamanda Maigwa amesema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Huruma ya Mkuu kwa maandalizi ya mazishi baada ya taratibu za uchunguzi kukamilika.

Sasa hii ni nini Asprin mrangi Jasmoni Tegga 🙆‍♂️
Mzazi hajamaliza hata 40 anachomwo kisu sababu ya unyumba!?

Hii kazi kubeba vidumu vya petrol itaisha kweli???

Screenshot_20210728-191742.jpg
 
Watan mwaka huu muende mapema kidogo kikao kitakuwa kirefu zaidi.
 
Hamna lolote,umuue mwanamke ambaye ana mwezi toka ajifungue kisa nyege zimekupanda?

Tamaa gani hizi?,wachaga watu wabaya Sana katika taifa letu,hawafai
Tumia akili yako kabla hujaandika kitu. Na muda mwingine ni heri pia ukaacha kuandika ili ufiche ujinga wako.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mzazi bado hata hajapona daah mijitu mingine bana.
Hii ndo shida wanafunga tu ndoa mwezi huo huo mimba anaanza kujisikia vibaya ,mara kutapika ,mara kizunguzungu baba wa watu analala bila kupata pambuchi mwezi wa 1,2,3, mambo ndo yanazidi kuwa mabaya hali ya uchovu ya mke inazidi jamaa anavumilia tu maraanaenda clinc anaambiwa asishiliki tendo la ndoa mpaka atapojifungua mtoto amekaa vibaya jamaa kavumilia tu mkewe kajifungua ,mwezi 1,2,3, mama naomba nisuuze kidogo mwezako mwaka sasa utaniua mwezako kwa nye..gi mama kagoma
 
Hakuna justification ya kumuua mwenzio,kuna njia nyingi za kupunguza nyege, kuna Oral sex ni swala tu la kufundisha wenza wetu,kama pia hapendelei ni kwenda kwa madada poa unawapa na wanatuma salam.

Mimi nashukuru sana kuwapata Wenza wangu ambao kila wakipata ujauzito ndio wanakuwa na ashki motomoto alhamdulilahi kumchoma mwenzako Kisu cha mbavu kwa sababu ya kunyimwa unyumba ni ukichaa na ushamba.
 
Wanaume wengi wao ni wasikivu, mke akimwambia nipo kwenye siku zangu huwa wanaridhika, lakini yakija majibu ya sikupi! nenda kamfanye mamaako! Wewe mwanaume gani nikupe "nini" yangu, ndio hapo balaa linapoanzia, subra kuisha na hasira za kudhuru zinakuja.
Hadi za kwenda kumfanya "mamaako"
 
Sasa hii ni nini Asprin mrangi Jasmoni Tegga 🙆‍♂️
Mzazi hajamaliza hata 40 anachomwo kisu sababu ya unyumba!?

Hii kazi kubeba vidumu vya petrol itaisha kweli???

View attachment 1873020
Duh...kweli vidumu vitahusika sana

Kuna mchango wangu mmoja humu nlisema
Mambo haya yanakwenda zam kwa zam
Sahv lazima utasikia mwanamke kafanya yake
On the next tukio😂😂

Ova
 
Naamuru mara moja huyo janaume likikamatwa lifirw* bila ndomu mara 10 kwa siku kwa miaka 6 mfulululizo.
Tumechoka kusikia habari za hawa mabazazi!!
 
Hatari
Duh...kweli vidumu vitahusika sana

Kuna mchango wangu mmoja humu nlisema
Mambo haya yanakwenda zam kwa zam
Sahv lazima utasikia mwanamke kafanya yake
On the next tukio😂😂

Ova
 
Fausta Silayo (22), Mkazi wa Kijiji cha Samanga wilayani Rombo ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba.Mwanamke huyo ambaye bado alikuwa na mwezi mmoja tangua atoke kujifungua, alichomwa kisu Julai 23 na kupelekea kifo chake Julai 24.
 
Back
Top Bottom