witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Sasa hapa umeongea nini?[emoji1745][emoji1745]Wanawake msipo jitambua misiba kwenyu haitoisha, mwanaume akishakua na hamu ya kufanya tendo la ndoa, hubadilika akili na huwa sawa na beberu la mbuzi na hupagawa na kuwa kama mnyama unapomnyima unyumba, akili yake humjia, akishafanya tendo lenyewe.
Sasa wewe mwanamke, unatarajia ukimnyima unyumba si kukudhuru tu?