KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Loh! Naona hawa Bwashee wamechanganyikiwa hasa mwezi huu. Kunani huko Kilimanjaro?Wachaga tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loh! Naona hawa Bwashee wamechanganyikiwa hasa mwezi huu. Kunani huko Kilimanjaro?Wachaga tena
Huna haya!Wanawake msipo jitambua misiba kwenyu haitoisha, mwanaume akishakua na hamu ya kufanya tendo la ndoa, hubadilika akili na huwa sawa na beberu la mbuzi na hupagawa na kuwa kama mnyama unapomnyima unyumba, akili yake humjia, akishafanya tendo lenyewe.
Sasa wewe mwanamke, unatarajia ukimnyima unyumba si kukudhuru tu?
Wanawake msipo jitambua misiba kwenyu haitoisha, mwanaume akishakua na hamu ya kufanya tendo la ndoa, hubadilika akili na huwa sawa na beberu la mbuzi na hupagawa na kuwa kama mnyama unapomnyima unyumba, akili yake humjia, akishafanya tendo lenyewe.
Sasa wewe mwanamke, unatarajia ukimnyima unyumba si kukudhuru tu?
Wanaume wengi wao ni wasikivu, mke akimwambia nipo kwenye siku zangu huwa wanaridhika, lakini yakija majibu ya sikupi! nenda kamfanye mamaako! Wewe mwanaume gani nikupe "nini" yangu, ndio hapo balaa linapoanzia, subra kuisha na hasira za kudhuru zinakuja.
Acheni kujiendekeza huyo Mama katoka kujifungua ana mwezi it obvious she was still bleeding na mshono wa kuongezewa njia ilikuwa haujapona, jifunzeni kuwa na huruma banaWanawake msipo jitambua misiba kwenyu haitoisha, mwanaume akishakua na hamu ya kufanya tendo la ndoa, hubadilika akili na huwa sawa na beberu la mbuzi na hupagawa na kuwa kama mnyama unapomnyima unyumba, akili yake humjia, akishafanya tendo lenyewe.
Sasa wewe mwanamke, unatarajia ukimnyima unyumba si kukudhuru tu?
Nimedharau sana pia .R .I.P Mama kichangaMzazi bado hata hajapona daah mijitu mingine bana.
Acha kushabikia upuuzi na wewe. Dada ndiyo katoka kujifungua?!!!Wanawake msipo jitambua misiba kwenyu haitoisha, mwanaume akishakua na hamu ya kufanya tendo la ndoa, hubadilika akili na huwa sawa na beberu la mbuzi na hupagawa na kuwa kama mnyama unapomnyima unyumba, akili yake humjia, akishafanya tendo lenyewe.
Sasa wewe mwanamke, unatarajia ukimnyima unyumba si kukudhuru tu?
Labda mwanamke alisema kabla hajakata roho.Hapa kuna utata!
Nani alishuhudia akiomba na kunyimwa uroda!
Tendo la ndoa si la kuwepo mashuhuda na washabiki lile!
Huenda wewe ndio muuaji. Mkeo akujibu nenda kamfanye mamaako?Wanaume wengi wao ni wasikivu, mke akimwambia nipo kwenye siku zangu huwa wanaridhika, lakini yakija majibu ya sikupi! nenda kamfanye mamaako! Wewe mwanaume gani nikupe "nini" yangu, ndio hapo balaa linapoanzia, subra kuisha na hasira za kudhuru zinakuja.
Hapa kuna utata!
Nani alishuhudia akiomba na kunyimwa uroda!
Tendo la ndoa si la kuwepo mashuhuda na washabiki lile!
Huu msimu uko kushoto kabisaFausta Silayo (22), Mkazi wa Kijiji cha Samanga wilayani Rombo ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba.
Mwanamke huyo ambaye bado alikuwa uzazi wa mwezi mmoja alichomwa kisu Julai 23 na kupelekea kifo chake Julai 24 wakati alipokuwa amewahishwa Hospitali ya Huruma kwa ajili ya matibabu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa kifo cha mwanamke huyo ambao amesema baada ya mwanaume huyo kufanya tukio hilo alikimbilia nchi jirani.
"Jeshi la polisi linaendelea na jitihada za kumtafuta mtuhumiwa wa tukio hilo ambaye inasemekana amekimbilia nchi jirani ili kumkamata na kumchukulia hatua za kisheria,"amesema Kamanda Maigwa.
Kamanda Maigwa amesema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Huruma ya Mkuu kwa maandalizi ya mazishi baada ya taratibu za uchunguzi kukamilika.
Mtu ametoka kujifungua unataka unyumba wa kutoka wapi?Wanawake msipo jitambua misiba kwenyu haitoisha, mwanaume akishakua na hamu ya kufanya tendo la ndoa, hubadilika akili na huwa sawa na beberu la mbuzi na hupagawa na kuwa kama mnyama unapomnyima unyumba, akili yake humjia, akishafanya tendo lenyewe.
Sasa wewe mwanamke, unatarajia ukimnyima unyumba si kukudhuru tu?
Hii ndo uzuri na haja ya kuwa na mpango wa kando ,kwani kunawanawake wakishika mimba hisia hupotea kabsaaAngekuwa na mchepuko unapigaa nje,ukirudi usiku unamwambia pole sana mke wangu nina genye lakini ntakuvumilia tu naelewa hali yako na kiss la goodnight juu.
Mazwazwa ktk uboraUmeniwai mkuu!
Laana ya Magufuli inawatafuna hawa viumbe[emoji23][emoji23][emoji23]