Acha chuki za kikabila hayo matukio hayapo kwenye makabila mengne?Hamna lolote,umuue mwanamke ambaye ana mwezi toka ajifungue kisa nyege zimekupanda?
Tamaa gani hizi?,wachaga watu wabaya Sana katika taifa letu,hawafai
Haujasoma vizuri. Amesema kuwa mwanamke ana siku 30 tokea alipojifungua. Hivi unajua mwanamke anaetoka kujifungua anakuwa katika hali gani ?!wanawake msipo jitambua misiba kwenyu haitoisha, mwanaume akishakua na hamu ya kufanya tendo la ndoa, hubadilika akili na huwa sawa na beberu la mbuzi na hupagawa na kuwa kama mnyama unapomnyima unyumba, akili yake humjia, akishafanya tendo lenyewe. Sasa wewe mwanamke, unatarajia ukimnyima unyumba si kukudhuru tu?
Wanaume wengi wao ni wasikivu, mke akimwambia nipo kwenye siku zangu huwa wanaridhika, lakini yakija majibu ya sikupi! nenda kamfanye mamaako! Wewe mwanaume gani nikupe "nini" yangu, ndio hapo balaa linapoanzia, subra kuisha na hasira za kudhuru zinakuja.Alikuwa mzazi mwezi mmoja.....we unaweza kumfanya mtu na labda alikuwa bado anavuja vuja
Fausta Silayo (22), Mkazi wa Kijiji cha Samanga wilayani Rombo ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba.
Mwanamke huyo ambaye bado alikuwa uzazi wa mwezi mmoja alichomwa kisu Julai 23 na kupelekea kifo chake Julai 24 wakati alipokuwa amewahishwa Hospitali ya Huruma kwa ajili ya matibabu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa kifo cha mwanamke huyo ambao amesema baada ya mwanaume huyo kufanya tukio hilo alikimbilia nchi jirani.
"Jeshi la polisi linaendelea na jitihada za kumtafuta mtuhumiwa wa tukio hilo ambaye inasemekana amekimbilia nchi jirani ili kumkamata na kumchukulia hatua za kisheria,"amesema Kamanda Maigwa.
Kamanda Maigwa amesema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Huruma ya Mkuu kwa maandalizi ya mazishi baada ya taratibu za uchunguzi kukamilika.
Tumia akili yako kabla hujaandika kitu. Na muda mwingine ni heri pia ukaacha kuandika ili ufiche ujinga wako.Hamna lolote,umuue mwanamke ambaye ana mwezi toka ajifungue kisa nyege zimekupanda?
Tamaa gani hizi?,wachaga watu wabaya Sana katika taifa letu,hawafai
Hii ndo shida wanafunga tu ndoa mwezi huo huo mimba anaanza kujisikia vibaya ,mara kutapika ,mara kizunguzungu baba wa watu analala bila kupata pambuchi mwezi wa 1,2,3, mambo ndo yanazidi kuwa mabaya hali ya uchovu ya mke inazidi jamaa anavumilia tu maraanaenda clinc anaambiwa asishiliki tendo la ndoa mpaka atapojifungua mtoto amekaa vibaya jamaa kavumilia tu mkewe kajifungua ,mwezi 1,2,3, mama naomba nisuuze kidogo mwezako mwaka sasa utaniua mwezako kwa nye..gi mama kagomaMzazi bado hata hajapona daah mijitu mingine bana.
Hakuna justification ya kumuua mwenzio,kuna njia nyingi za kupunguza nyege, kuna Oral sex ni swala tu la kufundisha wenza wetu,kama pia hapendelei ni kwenda kwa madada poa unawapa na wanatuma salam.Hii ndo shida wanafunga tu ndoa mwezi huo huo mimba anaanza kujisikia vibaya ,mara kutapika ,mara kizunguzungu baba wa watu analala bila kupata pambuchi mwezi wa 1,2,3, mambo ndo yanazidi kuwa mabaya hali ya uchovu ya mke inazidi jamaa anavumilia tu maraanaenda clinc anaambiwa asishiliki tendo la ndoa mpaka atapojifungua mtoto amekaa vibaya jamaa kavumilia tu mkewe kajifungua ,mwezi 1,2,3, mama naomba nisuuze kidogo mwezako mwaka sasa utaniua mwezako kwa nye..gi mama kagoma
Acha tu jombaa..watu ni wakatili sanaDah inasikitisha sana baadhi ya wanaume,dude lenyewe bado halijapona da angesubiri hats siku 40 azibue ndo masikio .
Wengi ni malimbukeni wa mapenzi na ndo jambo linawa cost!!!Ila wenzetu wa kutoka huu Mkoa kwa Kuuana na kuumizana kisa Love Davi hawajambo
Hadi za kwenda kumfanya "mamaako"Wanaume wengi wao ni wasikivu, mke akimwambia nipo kwenye siku zangu huwa wanaridhika, lakini yakija majibu ya sikupi! nenda kamfanye mamaako! Wewe mwanaume gani nikupe "nini" yangu, ndio hapo balaa linapoanzia, subra kuisha na hasira za kudhuru zinakuja.
Duh...kweli vidumu vitahusika sanaSasa hii ni nini Asprin mrangi Jasmoni Tegga ๐โโ๏ธ
Mzazi hajamaliza hata 40 anachomwo kisu sababu ya unyumba!?
Hii kazi kubeba vidumu vya petrol itaisha kweli???
View attachment 1873020
Hadi za kwenda kumfanya "mamaako"
Duh...kweli vidumu vitahusika sana
Kuna mchango wangu mmoja humu nlisema
Mambo haya yanakwenda zam kwa zam
Sahv lazima utasikia mwanamke kafanya yake
On the next tukio๐๐
Ova