Adaiwa kuua mke baada ya kunyimwa unyumba

Yaani, huyo unamwacha abaki na mdomo wake mchafu

Eti, kwani anaweza kukulazimisha πŸ™„
Ndoa zina mambo jamani! Mkifikia hadi hatua ya kutukanana matusi ya kuwahusu ndugu sijui mamaako this, mamaako vile, duh uwezo tu wa Mungu unahitajika
 
Ndoa zina mambo jamani! Mkifikia hadi hatua ya kutukanana matusi ya kuwahusu ndugu sjui mamaako this, mamaako vile, duh uwezo tu wa Mungu unahitajika

Huwezi mwambia mwanaume akamlale mamake halafu mkaendelea kuishi
Tuwafunze watoto wetu heshma na upendo hata kwa wale wasiowazaa
 
Udhaifu na kuendekeza nafsi tu...

Na mbaya zaidi mzazi ana mwezi tu..bado hajapona vizuri...
 
Daah..! Nimemhurumia sana, Mimi binafsi nimefundishwa ni miezi baada ya uzazi ndio nashiriki nae. Kabla ya hapo nahama nyumba kwanza miezi mitatu mpaka minne ndio namsogelea karibu
Kama akizaa kwa kufanyiwa upasuaji mwezi na nusu anakuwa yuko kwenye 'heat' akizaa kawaida inatakiwa unamsubiri mpaka yeye akuambie kuwa anataka joto lako.
 
Uchaggani kawaida hiyo
 
usikute mimba sio yake na papuchi hapewi akaona asubiri ajifungue apatie sababu
 
Mungu atusaidie maana dunia imekuwa na mambo mengi!! Hivi wanaume mnaosema mnawaheshimu mama zenu mnashindwa vip kuwaheshimu wake zenu? Hv mnadhani ni kazi ndogo kuzaa?

Siku thelathini ni siku chache sana kwa mwanamke aliyejifungua kuanza kushiriki tendo.Kwanini usiongee na mkeo vizuri akakueleza jinsi anavyojisikia? Kutokana na haya yanayotokea katika zama hizi..this world is no longer a better place to live
 
Ukiwa na imani ndogo ya dini utafanya mambo ya ajabu sana maana lolote utakaloambiwa ni kutoa maamuzi ya kishetani hata shetani mwenyewe anakukana ujue mkeo unamtia kisu cha tumbo si laana hiyo...yaani mtoto anazaliwa mama hamjui anakuja kuambiwa aliuawa na baba kweli Afrika tuna shida sana zaidi kwa kweli...
 
hivi ile mada ya Hawa jamaa hawana nguvu ilitrend hadi mjengoni kumbe ilikuwa camouflage.....

Hawa jamaa Ni hatari wanachana hadi pedi..... hahahahaaa.....
 
Watani zangu wachaga mlijulikana zaidi kuua kwa ajili ya pesa Leo mnaua kwasababu ya papuchi kweli?
Papuchi uliyolipia mahari ikufanye uishi kama digidigi ili kukwepa mkono wa sheria
 
Hapa kuna utata!

Nani alishuhudia akiomba na kunyimwa uroda!

Tendo la ndoa si la kuwepo mashuhuda na washabiki lile!
 
W
Wachaga tenaa 😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…