Adaiwa kuua mke baada ya kunyimwa unyumba

Huna haya!
Mzazi wa mwezi?
 

Ulipewa utashi ujitofautishe na mnyama
 

Unatetea upuuzi
Kwa akili zako unaanzaje kulazimisha unyumba na mzazi ?
 
Acheni kujiendekeza huyo Mama katoka kujifungua ana mwezi it obvious she was still bleeding na mshono wa kuongezewa njia ilikuwa haujapona, jifunzeni kuwa na huruma bana
 
HUYUFALA ATADAKWA TU YANI AMEKOSA KINA LINGA PALE MAMBA KIBAO AMA IKUNDA PALE MARANGU WA KUTOSHAA FANAKURU MANYOYA HUYU

NANYIE MSICHEZEE NA MAHARI ZETU NDOA NYINGI ZIPO ICU ...
 
Acha kushabikia upuuzi na wewe. Dada ndiyo katoka kujifungua?!!!
 
Huenda wewe ndio muuaji. Mkeo akujibu nenda kamfanye mamaako?
 
Huu msimu uko kushoto kabisa
  1. Mbezi
  2. Sinza
  3. Rombo
MAtukio ya namna hii yalitokea msimu fulani siku za nyuma
  1. Ufo Saro
  2. Mama mmoja Bungoni
 
Mtu ametoka kujifungua unataka unyumba wa kutoka wapi?
 
Angekuwa na mchepuko unapigaa nje,ukirudi usiku unamwambia pole sana mke wangu nina genye lakini ntakuvumilia tu naelewa hali yako na kiss la goodnight juu.
Hii ndo uzuri na haja ya kuwa na mpango wa kando ,kwani kunawanawake wakishika mimba hisia hupotea kabsaa

Wanaume tafuteni Michepuko ili myakwepe hayaa
 
Labda walikua wanafanyana sana kipindi cha hapo kabla ya kujifungua ndio maana jamaa kaathirika sana kukosa papuchi kwa muda mchache hawezi mpaka atumie silaha nk lakini watu wana maajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…