Adaiwa kuua mke baada ya kunyimwa unyumba

Sasa hapa umeongea nini?[emoji1745][emoji1745]
 
Siku nyingine akili inakukaaga sawa[emoji848][emoji848]
 
Umeongea Fact mkuu. Kuna elimu vijana wanatakiwa kuipata kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Kuna mbinu nyingi tuu mwanaume anaweza kutumia ili kuzikabili hisia zake. Anaweza kujikaza kisabuni, anaweza kumwachia mwanamke chumba kwa muda naye akalala chumba kingine (Kama kipo), lakini pia ipo mbinu maarufu ya kumpeleka mwanamke kwenu mwanaume au kwao mwanamke kwa kipindi Cha uzazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…