Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Niaangalia kwa makini, hakika Adam Mchomvu kwa ulichofanya kama host duniabnzima inakushangaa host wa Kipindi kikubwa na radio bora kufanya mambo ya kitoto umedhihirisha ulimwengu kweli unatumia hicho kileo

Omba msamaha fasta mambo yaishe kwa mbasha ule ni utani tu kakukumbatia ukamla shoka dah

Jamaa hajataka kukopesha...kalianzisha na mwana akamaliza.
 
Kateke kadogo sana. Huwezi kumwambia mtu mbele ya hadhara, mbele ya Rais na viongozi mbali mbalieti 'unajua wewe bangi sana', unajua unamkosesha dili ngapi? Bravo Mchomvu, ungemuongezea na ka kibao kwa juu uli pombe yote ikate na awe na heshima.
 
Niaangalia kwa makini, hakika Adam Mchomvu kwa ulichofanya kama host duniabnzima inakushangaa host wa Kipindi kikubwa na radio bora kufanya mambo ya kitoto umedhihirisha ulimwengu kweli unatumia hicho kileo

Omba msamaha fasta mambo yaishe kwa mbasha ule ni utani tu kakukumbatia ukamla shoka dah
Tena alitakiwa apigwe mitama zaidi akili ikae sawa
 
🤣🤣🤣🤣 evil spirits zilifanya aje?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umeuliza swali zuri kijana.Mapepo yale yalipotoka kwa mbasha baada ya kula ngwala ile yenye kishindo mithili ya kishindo cha awamu ya 5 mapepo yale yalikimbilia magogoni sijajua kule magogoni yalimpata nani kama mwenyeji wa kufanya Makazi yao mapya nina mashaka sana juu ya uelekeo wa mapepo yale
 
Matope, Adam kazingua hizo bangi anakula kweli kama ingekuwa sio kweli asingempiga hilo teke halafu alicatch feeling tu mbona yeye alimwambia Mbasha anakunywa maji ndio maana kawa mweupe.......

Anyway ya ccm tuwaachie wenyewe kama TAKUKURU walivosema.... Nawasilisha
 
Naona akaamua amshukie kabisa,ila hii sio picha nzuri hasa kwa CMG.Sababu wiki hii Jahazi imefungiwa,alafu mtangazaji wa kituo chao nae kafanya kitendo kibaya mbele ya kadamnasi,so hata TCRA wakitaka kuwaonea huruma CMG kwa kukifungulia kipindi cha Jahazi,wakiangalia hii tabia ya Mchomvu watawaweka watangazaji wa Jahazi na Mchomvu ktk kundi moja.
 
Back
Top Bottom