Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sasa huo ndo mtama?
Nyie vitoto vya siku hizi hamjui chochote kabisa.
Nyie vitoto vya siku hizi hamjui chochote kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu.
Ni aibu lakini nimeona ameitwa pembeni nadhani wameenda kuyamaliza.
Nimemuonea huruma huku nacheka![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nami sijaona mtama hapo labda wangesema kawekewa kigingi.Sasa huo ndo mtama?
Nyie vitoto vya siku hizi hamjui chochote kabisa.
Ona sasa hujaona alivyochotwaIla watu mna roho jamani...kuchek Chanel ten?dah hongereni
Exactly!Nami sijaona mtama hapo labda wangesema kawekewa kigingi.
Mtama ukipigwa lazima either matako yaanze chini au kichogo au sehemu ya nyuma ya mwili
Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu.
Ni aibu lakini nimeona ameitwa pembeni nadhani wameenda kuyamaliza.
Sio mtama ni mahindi hayoSasa huo ndo mtama?
Nyie vitoto vya siku hizi hamjui chochote kabisa.
Mchomvu ni muhuni tu
Sio leo tu huwa jamaa lina mambo ya kike kike Safi sana Adam [emoji519]Leo ndio tumejua mke wa Mbasha alivumilia kiasi gani.
Hata ingekuwa mimi ningempiga
Magu alikuwepo pale?Nimecheeka saana. Sijui mchomvu kawaza nini kumsambua ngwala Mbasha mbele ya Magufuli. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona uko taifa unafatilia show hapoSasa huo ndo mtama?
Nyie vitoto vya siku hizi hamjui chochote kabisa.