Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru


[emoji12][emoji12]hapo kwa Barcelona “kupakata “ 8 [emoji41][emoji41][emoji41]
 
ADAM MCHOMVU asipoomba radhi kwa hilitukio yatamkuta ya Diva ,maana amehatibu shuguli ya watu.Pia hii inatupa picha ni kwanini jamaa hajakabidhiwa kipindi cha XXL.
 
Kama kawaida yenu !, Mmeamua kuchukua hako katukio kama habari kwenu !! Acheni kuweweseka !. Unafikili CCM kama vyama vyenu uchwara hivyo!.
Unaona dogo hilo? Kama mbele ya mwenyekiti wenu mnachapana mitama wenyewe kwa wenyewe vipi mnapo wakuta wanachama wa vyama vingine? Ndio hayo ya kurusha mawe
 
ccm hii ndio sura yake halisi kimekusanya matakataka ya kila nmna tukipenge kwanguvu zote
 
Dada yangu kipenzi,si vizuri kuwatabiria mabaya maana wao ni sehemu ya jamii yetu.Huenda mabaya yakitokea,yakatuumiza wengine tusiohusika kabisa na siasa zao
Kilichotokea ni aibu kubwa Sana Kwa waandaji na hiyo ni ishara kuwa MUNGU hayupo upande wenu, kuna mengi yatatokea Kwa kila mtakalokuwa mnaliandaa
 
ADAM MCHOMVU asipoomba radhi kwa hilitukio yatamkuta ya Diva ,maana amehatibu shuguli ya watu.Pia hii inatupa picha ni kwanini jamaa hajakabidhiwa kipindi cha XXL.
Kipindi kakabidhiwa nani?

yeye ndo brand manager
 
Chanzo ni mbasha kumwita Bangi ni kwa nini amwite mwenzake Bangi? Mwenye tatizo ni huyo huyo aliyemwita mwenzake Bangi acha ajutie ujinga wake
 
Nimefurahi tukio hili limetokea. Dhamira ya shughuli imeharibika kabisaa. Watu wameshika moja tu la ‘mtama wa uchumi wa kati’. Good job Adam and Mbasha.

Halafu kwa hili la leo, asitokee mtu akajidai kumuengua Lissu kwenye kinyang’anyiro cha Urais kwa kigezo cha kuwa kaanza kampeni mapema. Hiki leo tutakikumbushia.

#NiYeye2020 #TunduLissuNdioRais
 
Ahsante sana, wanalazimisha kupendwa na manguo yao ya kijani pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…