Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Mbasha ana chuki sana na Clouds..aliwahi kuwatukana sana Uncle Jimmy na Sam Sasali bila ya sababu..sawasawa kupigwa tena Magu anashuhudia
 

Tamasha la kishenzi la chama la majizi. Ngumi ni nje nje.
 

Hizo ndizo tabia zinazoonekana sana hapa JF na sememu nyingine za social media; mtu akishindwa kujibu hoja anachokoza shari. Watu siku hizi inaonekana kama akili za uungwana tumeshaziweka kwenye freezer. Hakukuwa na haja ya kufanya hayo mbele ya kadamnasi; angeweza kumfuata huko pembeni wakaongea. Sasa hata wakiongea huko pembeni bado hiyo picha mbaya ipo hadharani.
 
Mtu kajenga brand yake kwa miaka 20 huko alafu inakuja kuchafuliwa mara moja tu stejini, not fair. Mbasha alikua anawaaminisha waTZ kuwa mchomvu ni bangi. Bora angemwambia in private na sio mbele ya umma.
 
Hapo safi sana!
Kachimba kwanza msingi halafu kanyanyua mamaye. Dole gumba kwa Adam 👍. Maneno kama yale unakata funua kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…