jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,839
- 2,963
Anawafuatilia live akitokea hifadhi ya chato.
Dah wanyama wetu ndio wameenda hivyo [emoji134]♀️[emoji35]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anawafuatilia live akitokea hifadhi ya chato.
Ni inshu unasikia jamaa linasema hawajamalizana litamtafuta private wamalizane! Natamani Mbasha angeng'oa meno pumbavu kabisa!Mmmh,Wasema?
Penye Wengi Pana Mengi,Sidhani Km Ni inshuu...
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Hadi linex..bila kumsahau afande seleMchomvu na linex bange kwao ni chakula muhimu sana kwao
😁😁Ni inshu unasikia jamaa linasema hawajamalizana litamtafuta private wamalizane! Natamani Mbasha angeng'oa meno pumbavu kabisa!
😆😆😆😆Siri nyingine uwe unakaa kimya. Unataka utukoseshe fiesta ya bure?
Niaangalia kwa makini, hakika Adam Mchomvu kwa ulichofanya kama host duniabnzima inakushangaa host wa Kipindi kikubwa na radio bora kufanya mambo ya kitoto umedhihirisha ulimwengu kweli unatumia hicho kileo
Omba msamaha fasta mambo yaishe kwa mbasha ule ni utani tu kakukumbatia ukamla shoka dah
Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu.
Ni aibu lakini nimeona ameitwa pembeni nadhani wameenda kuyamaliza.
View attachment 1538627
View attachment 1538629
Mbasha kamkosea Adam ingawa Adam alipaswa kumkanya kwa maneno pasipo kimpiga mtamaHata Kama Mimi ndio ningekuwa Adamu ningefanya vile au ningefanya kitu kinachokaribiana na kile, huwezi ukaongea ushubwada Kama ule kwenye kadamnasi ile na hujui who is watching
Adam kafanya vizuri kumpiga Mbasha ili iwe fundishoMtu kajenga brand yake kwa miaka 20 huko alafu inakuja kuchafuliwa mara moja tu stejini, not fair. Mbasha alikua anawaaminisha waTZ kuwa mchomvu ni bangi. Bora angemwambia in private na sio mbele ya umma.