Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Vinahusiana sababu Jahazi kilifungiwa sababu watangazaji wametoka nje ya maadaili,same as Adamu Mchomvu tena ya hadhara nacho yupo kinyume na maadili.
Hawa ni kawaida yao kuanzia kwa Mwenyekiti, yeye anawacharaza risasi kabisa wenzake.Unaona dogo hilo? Kama mbele ya mwenyekiti wenu mnachapana mitama wenyewe kwa wenyewe vipi mnapo wakuta wanachama wa vyama vingine? Ndio hayo ya kurusha mawe
Huu utani nimechukua Kama ulivoKuna vitu Sio rahisi kuviona Kama vile una mgonjwa mirembe huwezi mwona leo tumebahatika wagonjwa wa mirembe wapo live
Kwa hiyo na wewe na akili zako ulikua unafatilia huo upuuzi hapo channel ten?!Naona adam ameshashushwa jukwaani ameingia bdozen..
Wakapigane vyema backstage
Ifike mahali kila mtu na amuheshimu mwingine.....Mbasha is Stupid fool.ADAM MCHOMVU asipoomba radhi kwa hilitukio yatamkuta ya Diva ,maana amehatibu shuguli ya watu.Pia hii inatupa picha ni kwanini jamaa hajakabidhiwa kipindi cha XXL.
Thats g.a.y.i.s.hDah nimecheka sana mbasha kaondoka kama hamna kilicho tokea.
HayakwishaWakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu.
Ni aibu lakini nimeona ameitwa pembeni nadhani wameenda kuyamaliza.
Hao ndiyo aina ya wafuasi wa ccmHuyu mbasha ana matatizo gani?!
Ccm wanalidhalilisha taifa letu lenye kisiwa kiitwacho AmaniHayakwisha