Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Pale alikua kwenye kipindi gani cha redio?
Vinahusiana sababu Jahazi kilifungiwa sababu watangazaji wametoka nje ya maadaili,same as Adamu Mchomvu tena ya hadhara nacho yupo kinyume na maadili.