Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

Hapo ni wazi amejidhalilisha na kushusha hadhi ya kituo chake cha kazi.
 
Backstage bifu liliendelea

 

Asipoomba msamaha utamfanya nini?

Kuna mtu kakudanganya kuwa wewe una nguvu au kuwa ukiandika tu basi inakuwa

Dont waste your time

Kapigwa, na atapigwa tena, huyo mtangazaji mkubwa ndio anaambiwa 'bangi sana"??
 
Mchovu anakaa kama chalii ya Araaa........ni mwenyeji wa wapi.......?......
Machalii ya Chugga undezi kama huo aliofanya Mbasha hawafagilii kabisa......tena angempa ndoo la hatari.......atushobokewagi kimama sisi.......
Big up Mchovu kama wewe ni chali ya Araaa......umewakilisha........
 
Vinahusiana sababu Jahazi kilifungiwa sababu watangazaji wametoka nje ya maadaili,same as Adamu Mchomvu tena ya hadhara nacho yupo kinyume na maadili.

Kwa hiyo kitafungiwa kipindi gani?? ,😂😂😂 Acha ujinga bana
 

Ni wa arusha ndugu
 
Mambo ya kishetani
 

Kwanza sio mara ya kwanza TCRA kufungia vipindi cmg

Pili tcra inafungia maudhui ya kipindi

Kuhusianisha hili na kufungiwa redio, umeamua kuchangamsha genge

Nendq fb au insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…