Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Backstage bifu liliendeleaNiaangalia kwa makini, hakika Adam Mchomvu kwa ulichofanya kama host duniabnzima inakushangaa host wa Kipindi kikubwa na radio bora kufanya mambo ya kitoto umedhihirisha ulimwengu kweli unatumia hicho kileo
Omba msamaha fasta mambo yaishe kwa mbasha ule ni utani tu kakukumbatia ukamla shoka dah
Niaangalia kwa makini, hakika Adam Mchomvu kwa ulichofanya kama host duniabnzima inakushangaa host wa Kipindi kikubwa na radio bora kufanya mambo ya kitoto umedhihirisha ulimwengu kweli unatumia hicho kileo
Omba msamaha fasta mambo yaishe kwa mbasha ule ni utani tu kakukumbatia ukamla shoka dah
Hiki chama hakifai kuongoza hata nyumba kumiCCM na wavuta bangi ni kitu kimoja
CCM ni chama makini. Hao ni vijana wamepotoka na CCM inajua kushughulika nao.Teke la miguu....
Doh kiswahili lugha yetu ila ngumu kumesa.
Vinahusiana sababu Jahazi kilifungiwa sababu watangazaji wametoka nje ya maadaili,same as Adamu Mchomvu tena ya hadhara nacho yupo kinyume na maadili.
Mchovu anakaa kama chalii ya Araaa........ni mwenyeji wa wapi.......?......
Machalii ya Chugga undezi kama huo aliofanya Mbasha hawafagilii kabisa......tena angempa ndoo la hatari.......atushobokewagi kimama sisi.......
Big up Mchovu kama wewe ni chali ya Araaa......umewakilisha........
Waisubiri trca sasa
Ni wa arusha ndugu
Mambo ya kishetaniWakuuu huko Uwanja Wa taifa wasaniii wamezichapa live bila chenga baada Ya mbasha kumwiiita mchovu kuwa anavuta bangi.
Hakika kuna kitu hapa walioandaa hilo tamasha watakuwa wamejifunza kuwa wanachokifanya kinamchukiza MUNGU, watu kupigana live wakiwa wanatazamwa kwenye TV zaidi ya tano ni Aibu kubwa na hiii ni ishara Fulani kuwa MUNGU hayupo upande wenu na huenda mkakutwa na majanga zaidi.
Naona akaamua amshukie kabisa,ila hii sio picha nzuri hasa kwa CMG.Sababu wiki hii Jahazi imefungiwa,alafu mtangazaji wa kituo chao nae kafanya kitendo kibaya mbele ya kadamnasi,so hata TCRA wakitaka kuwaonea huruma CMG kwa kukifungulia kipindi cha Jahazi,wakiangalia hii tabia ya Mchomvu watawaweka watangazaji wa Jahazi na Mchomvu ktk kundi moja.
Unajua kazi ya TCRAVinahusiana sababu Jahazi kilifungiwa sababu watangazaji wametoka nje ya maadaili,same as Adamu Mchomvu tena ya hadhara nacho yupo kinyume na maadili.
Wewe unamkumbatia mwanaume mwenzio ili iweje?
Angempiga na pole pole kabsa
Wewe na wao wote ni wahuni tuCCM ni chama makini. Hao ni vijana wamepotoka na CCM inajua kushughulika nao.
Vipi Mwenyekiti Mbowe aliishatoaGA tamko la yeye kuvamiwa pale Dodoma usiku? Ahahahahahahahah!!!Wewe na wao wote ni wahuni tu